St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
- Thread starter
- #41
Hapo kwenye utanashati wala hujkosea mkuu. Na ni mcheshi mzuri sana. Ila mpaka mtu anasema kakuota tena mke wa rafiki mh. Ingekuwa miaka ile sijawa mtakatifu tungekua tunaongea mengine.Ni hivi una vitu ambavyo vimemvutia huyo mwanamke ambavyo amekosa kwa mumewe ndivyo vimemfanya akufikilie zaidi
Huwenda ukawa ni mcheshi unavaa mavazi ayapendayo kwahiyo sio ajabu wewe kumvutia yeye yote yanawezekana.
Kuhusu fumanizi mwanamke mwenye akili hawezi kukubali kudhalilika kirahisi kiasi hicho labda ungemuanza wewe na u Ms imbue kwa muda mrefu.