Mke wa mtu ananipigia simu ya video usiku mumewe akiwa kalala

umeshawahi kuchambia panga.Mke wangu nilikuwa namuhisi siku nyingi kumbe ni wewe subiri kidogo najua jinsi ya kupata detail zako
 
Iku hizi wanakata masikio,kuna mwenzio analialia humu toka juzi,kuwa makini kijana..
 
UNAPOFANYA MIZUNGUKO YAKO USIACHE KUTEMBEA NA KIKOPO CHA VASELLINE,AYU au RAYS. Utakuja nishukuru Baadaye.
 
Alipokua anakupigia alikwambia mume wake yuko wapi ??? Hatari sana hawa mademu
Alinambia KALALA, mziki ulikua ukiimba naye akiongea Kwa sauti ya chini baadae akaacha kuongea ikawa action tu😀😀
 
Utachagua mwenyewee mkuu ukikamtwa na mke wa mtu .Uliwe na kilainishi au kavuu....

MKE WA MTU SUMU ACHANA NAYE
Sitembei na mke wa mtu. Nitachukua measures hili lisijirudie tena
 
Utachagua mwenyewee mkuu ukikamtwa na mke wa mtu .Uliwe na kilainishi au kavuu....

MKE WA MTU SUMU ACHANA NAYE
Mke wa mtu ni sumu inayomuua mumewe. Umemfuma jamaa anakula mkeo halafu unamuua. Unaenda kufungwa jela maisha halafu unamuacha mwanamke uraiani anaendelea kupigwa mashine. Hapo sijui umelinda nini
Huwezi kulinda bahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…