Mke wa mtu ananitesa

Mbona mnatuchanganya sasa 🤣🤣🤣
 
Anza kutembea na mafuta
 
Achana nae mwambie kama ndoa yake inmsunbua aondoke kwao atapata mwanaume mwingine anaeteseka anachukua hatua anataka kuchepuka Kwa kisingizio Cha mumewake
You are not only a human but you are among the world's real human. Asipoufuata huu ushauri shauri zake. Na litakalomkuta sidhani kama ataleta mrejesho humu.
 
Hongera Sana.

Uwe unatembea na KY Jelly ili kuepusha michubuko endapo likija kutokea.

Andaa hela ya operation baada ya kuja kuvunjwa miguu.
 
Mkuu Dexta Usikubali kuingia kwenye hilo jaribu yawezekana huo ni mtihani tu na ukijichanganya utapata sana fedheha. Ishinde tamaa ya mwili. Kama wewe ni Muumini kumbuka kisa cha Yusufu na yule Mke wa Mfalme. Huenda huyo Mwanamke ukimkatalia hilo jambo lake akakudharau na ku kuchukia lakini wewe utakuwa umepata credit kwa uaminifu wako. Potezea tu.
 
Kaa mbali, kimbia mpaka miguu iguse kisogo..

Nyege zitawapotezea umakini, ukidakwa jamaa anaweza hata kukuua.

Kuna clip jamaa anavuja damu kaligwa panga la shingo, kisa mke wa mtu, mwingine kakatwa kende kisa mke wa mtu.

Haina haja ya kuweka rehani uhai wako kwa raha ya sekunde.
 
Tumia akili kubwa huyo mwanamke akili yake ndogo na ww ukipiga show mapenzi utayapunguza kwake kisha atakasirika na atakuwekea mtego ndipo utakaposhikwa na utatambua akili ya mwanamke ilivyo JAMAA ANAWEZA KUKUNAJISI KAMA YY HANA NGUVU ATATUMIA BODABODA WAKUWEKEE MITI KUNDULE ACHANA NAYE
 
Thanks man
 
Mkuu Dexta Usikubali kuingia kwenye hilo jaribu yawezekana huo ni mtihani tu na ukijichanganya utapata sana fedheha. Ishinde tamaa ya mwili. Kama wewe ni Muumini kumbuka kisa cha Yusufu na yule Mke wa Mfalme. Huenda huyo Mwanamke ukimkatalia hilo jambo lake akakudharau na ku kuchukia lakini wewe utakuwa umepata credit kwa uaminifu wako. Potezea tu.
 
Acha kumsanua mwache aone ngodoigwa mwenyewe.

Hakuna kitu cha siri duniani ,ni lazima mwenyewe atakuja kujua tu.
 
Vishu Mtata kasema ukweli hapa... Kimbia kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…