Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Shukuru Mungu Mume wake hakujua na wamehamaNilifanya ile kitu inaitwa #HITANDRUN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukuru Mungu Mume wake hakujua na wamehamaNilifanya ile kitu inaitwa #HITANDRUN
kuna mpare mmoja kipindi nimemaliza tu chuo, alikuwa ananiletea chakula kwenye hotpot kabisa, tulipanga nyumba moja, anafungua mlango anaweka nyuma ya mlango, ila bwanake alikuwa na sura mbaya kama jamabazi nikaogopa kuuawa, nikaenda kumwambia mumewe ampige stop. hii ilikuwa baada ya kuona ameanza kushambulia hadi mchumba wangu kwa wivu wakati yeye ameolewa. wanawake sometimes wana madhaifu sana. mumewe aliniambia kama ningekuwa nimeshatembea naye nisingemwambia, akaniamini na akasema bora umesema usingesema nikaja kusikia hata fununu tu nisingekuamini na ningekufanyia kitu kibaya.Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.
Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.
Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.
Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.
Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.
Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.
Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
YeahYeah upo sahihi, ingawa limeshapita hilo tupo 2025 now.
Rafiki nakutafuta ujue... Au umebadirisha numbers?Vipi mkuu ulifanikiwa kumla au bado unamkimbia kimbia?
Habari za jumamosi wakuu, nadhani mmeamka poa.
Twenzetu moja kwa moja kwenye mada, huyu bi dada ni jirani yangu anaishi na mume wake na watoto wawili pamoja na ndugu zao inshort wanaishi familia kubwa kidogo.
Lengo la kuleta huu uzi ni kutaka ushauri maana huyu bi dada tulitokea kuzoeana mpaka kupeana namba, sometime ananicheck nimtumie vocha me namtumia mara aniagize kitu me namletea kiroho safi.
Imefkia hatua ananipigisha story mpaka za ndani na mume wake, anadai jamaa na anamchepuko nje so hana hisia nae tena na huyo mume wake hawezi kazi kitandani yani ni mtu wa kimoko tu chali tena hachukui hata dk 5.
Me nikawa namshauri tu avumilie ila saiz ameshindwa kujizuia na amenifungukia kuwa anahamu sana ya kusex na ameamua kunitunuku nimmalizie hamu yake ila mm nakuwa mguu nje mguu ndani ingawa jamaa yake sio mshkaji wangu ila ni mtu ambaye tukikutana tunasalimiana then kila mtu anapita hv.
Imefkia hatua huyu bi dada hata nikiamka tu asubuhi ananitumia msg, anataka nikamgegede, nakosa cha kumjibu maana me ndio nimekuwa kama demu ss, nakimbia kimbia.
Wazee nahitaji ushauri, nimbandue au nimtupe? Coz hata saiz nimeamka tu nimekuta kanitumia msg ila bado sijamjibu.
NIpo my friend,. Ngoja nitakutafuta kesho mapemaRafiki nakutafuta ujue... Au umebadirisha numbers?
Mi niko powa, I was worried about you. Ukinitafuta tutaongea mengi mamiiNIpo my friend,. Ngoja nitakutafuta kesho mapema
Unaendeleaje lakini?
Oukay,. Asante kwa kunikumbuka lakiniMi niko powa, I was worried about you. Ukinitafuta tutaongea mengi mamii