MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 373
- 895
Nianze Kwa kumtetea Baltazar yule mwamba Hana makosa kabisa.
Hawa watu wanashida zao special huko kichwani aseee.
Juzi nimeenda uwanjani kuangalia game ya wanawake ligi kuu ya timu flani dhidi ya timu ya kanda ya ziwa.
Sehem nilokuwa nimekaa kulikuwa na mdada flan kwa kukadiria ni age ya 27-30 hivi. Mweupe, mwembamba kiasi mrefu.
Sasa nikaanza kupiga naye stor zikanoga huku tunachek game, watu hawakuwa wengi kivile kwahyo tulikuwa tumejitenga kivyetu.
Nikachukuwa namba baadae tulivotoka jioni kabisa nikamchek alikuwa ashanielekeza anapokaa mtaa naokaa sio mbali na mtaa wangu.
Tukapenana miahadi ya kuonana next day tukaonana tukapiga stor yani tukawa na chemistry flan kwasabab stor zilikuwa zinanoga sana.
Tuliongea mengi nikajua kwamba ana mtoto mmoja na ameolewa na jamaa flan ni mtumishi wa umma anafanyia huko bush kwahyo anakujaga weekend mara nyingi.
Bwan, mke wa mtu akaanza kutengeneza mazingira ya kunipa tunda nikamwambia shida ni kwamba wewe ni mke wa mtu kwahiyo itakuwa ngumu mimi kula mke wa mtu ni hatari sana.
Akanijibu "KULA NYAMA NYAMAZA" nilicheka sana alivonambia hii kauli asee nilifatilia mumewe ni mtu katili hana mchezo kwahiyo nilichokifanya ni kumpotezea kabisa ukizingatia nina shemej/wifi yenu nayeye pia ni dakik moja mbele anakichafua na hachagui sehemu ya kukiamsha popote pale anakuzingua kwahyo nimeamua kuwa mpole nyama siili.