Mke wa mtu anataka niingiza cha kike

Mke wa mtu anataka niingiza cha kike

Nianze Kwa kumtetea Baltazar yule mwamba Hana makosa kabisa.
Hawa watu wanashida zao special huko kichwani aseee.

Juzi nimeenda uwanjani kuangalia game ya wanawake ligi kuu ya timu flani dhidi ya timu ya kanda ya ziwa.

Sehem nilokuwa nimekaa kulikuwa na mdada flan kwa kukadiria ni age ya 27-30 hivi. Mweupe, mwembamba kiasi mrefu.

Sasa nikaanza kupiga naye stor zikanoga huku tunachek game, watu hawakuwa wengi kivile kwahyo tulikuwa tumejitenga kivyetu.

Nikachukuwa namba baadae tulivotoka jioni kabisa nikamchek alikuwa ashanielekeza anapokaa mtaa naokaa sio mbali na mtaa wangu.

Tukapenana miahadi ya kuonana next day tukaonana tukapiga stor yani tukawa na chemistry flan kwasabab stor zilikuwa zinanoga sana.

Tuliongea mengi nikajua kwamba ana mtoto mmoja na ameolewa na jamaa flan ni mtumishi wa umma anafanyia huko bush kwahyo anakujaga weekend mara nyingi.

Bwan, mke wa mtu akaanza kutengeneza mazingira ya kunipa tunda nikamwambia shida ni kwamba wewe ni mke wa mtu kwahiyo itakuwa ngumu mimi kula mke wa mtu ni hatari sana.

Akanijibu "KULA NYAMA NYAMAZA" nilicheka sana alivonambia hii kauli asee nilifatilia mumewe ni mtu katili hana mchezo kwahiyo nilichokifanya ni kumpotezea kabisa ukizingatia nina shemej/wifi yenu nayeye pia ni dakik moja mbele anakichafua na hachagui sehemu ya kukiamsha popote pale anakuzingua kwahyo nimeamua kuwa mpole nyama siili.

Safari ya kuila Nyama na kunyamaza ilianza mlipobadilishana namba, hiyo Nyama utakuja kuila
 
Watu wengn utadhan hazimo mbona story yako inakinzana mara wew ukataka namba, enhe then akaamua kukupa tunda so namba ulichukua kwa lengo gani labda Acha uzinz, unatak tukusifie apo sio
 
Mwanamke malaya usiache kumwambia wewe ni Malaya. Unamla kisha unamwambia asante japo wewe ni malaya sababu una mume. Akipata huu ujumbe kwa kila mwanaume atazoea kuwa yeye ni Malaya.

Halafu wanaume tupunguze umbea, utoto na kutokuwa na kifua.
kwakwel umbea upunguzwe, sasa kama mtu suala la mbususu anakuja kutangaza je ukimwajiri ofcn atafaa kutunza siri za ofisi 😄
 
Nianze Kwa kumtetea Baltazar yule mwamba Hana makosa kabisa.
Hawa watu wanashida zao special huko kichwani aseee.

Juzi nimeenda uwanjani kuangalia game ya wanawake ligi kuu ya timu flani dhidi ya timu ya kanda ya ziwa.

Sehem nilokuwa nimekaa kulikuwa na mdada flan kwa kukadiria ni age ya 27-30 hivi. Mweupe, mwembamba kiasi mrefu.

Sasa nikaanza kupiga naye stor zikanoga huku tunachek game, watu hawakuwa wengi kivile kwahyo tulikuwa tumejitenga kivyetu.

Nikachukuwa namba baadae tulivotoka jioni kabisa nikamchek alikuwa ashanielekeza anapokaa mtaa naokaa sio mbali na mtaa wangu.

Tukapenana miahadi ya kuonana next day tukaonana tukapiga stor yani tukawa na chemistry flan kwasabab stor zilikuwa zinanoga sana.

Tuliongea mengi nikajua kwamba ana mtoto mmoja na ameolewa na jamaa flan ni mtumishi wa umma anafanyia huko bush kwahyo anakujaga weekend mara nyingi.

Bwan, mke wa mtu akaanza kutengeneza mazingira ya kunipa tunda nikamwambia shida ni kwamba wewe ni mke wa mtu kwahiyo itakuwa ngumu mimi kula mke wa mtu ni hatari sana.

Akanijibu "KULA NYAMA NYAMAZA" nilicheka sana alivonambia hii kauli asee nilifatilia mumewe ni mtu katili hana mchezo kwahiyo nilichokifanya ni kumpotezea kabisa ukizingatia nina shemej/wifi yenu nayeye pia ni dakik moja mbele anakichafua na hachagui sehemu ya kukiamsha popote pale anakuzingua kwahyo nimeamua kuwa mpole nyama siili.
Hiyo kauli ya "KULA NYAMA NYAMAZA" asije akaniambia Kalpana! Aisee ataijutia maisha yake yote! Mimi huwa sitaki kabisa masihara kwenye mambo ya msingi! 😫
 
Ahahahahahha aisee mtani...mimi kwanza helo neno haliwezi kuponyoka mdomoni kwa sbb hutaweza kuresist... 🤣 🤣 🤣
 
Kuomba namba uombe wewe,,,Mihadi ya kuonana Ufanye Wewe,,,Mara Sijui Tuna Kemistri Fulani Kamilisha Na Kabayoloji Fulani ambacho mwenzako anakitaka,,au kama hutojali Nipasie Namba Za Huyo Bibiee.
 
Back
Top Bottom