Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...
View attachment 3326802
Kuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.
Tuanzie hapo, unamtongoza mke wa mtu ili ugundue nini?
Pili, Kila binadamu ni mdhaifu hatuoi waliokamilika
Tatu, unahimiza watu wakatae ndoa je wewe unafanya mapenzi na mbuzi, mbwa au inzi?
Nne, Kufeli kwako kwa mambo ya ndoa kuna weza athiri mambo ya wana ndoa wengine?
Tano, unadhani ukiwa hauna ndoa ndo utakuwa salama maishani mwako?
KAMA kweli wewe ni mwanaume huwezi kuwa muoga kuoa kwa sababu za KIVULANA,
Acha dhana ya kulaumu wanawake kucheat ingali wenyewe unacheat,
Na kama hutaoa maana yake hautokamilika kwa kuwa tunakamilishwa kwa kuurudisha ubavu wetu wa kushoto.
Soma kwa faida YAKO na hao wote wenye chuki na ndoa.
Mithali 18:22
[22]Apataye mke apata kitu chema;
Naye ajipatia kibali kwa BWANA.
Mhubiri 4:9-10
[9]Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja;
Maana wapata ijara njema kwa kazi yao.
[10]Kwa maana wakianguka, mmoja wao atamwinua mwenzake; lakini ole wake aliye peke yake aangukapo, wala hana mwingine wa kumwinua!
Asante nawasilisha