Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Kuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.
Tuanzie hapo, unamtongoza mke wa mtu ili ugundue nini?
Pili, Kila binadamu ni mdhaifu hatuoi waliokamilika
Tatu, unahimiza watu wakatae ndoa je wewe unafanya mapenzi na mbuzi, mbwavau inzi?
Nne, Kufeli kwako kwa mambo ya ndoa kuna weza athiri mambo ya wengine?
Tano, unadhani ukiwa hauna ndoa ndo utakuwa salama maishani mwako?
KAMA kweli wewe ni mwanaume huwezi kuwa muoga kuoa kwa sababu za kivula, Acha dhana ya kulaumu wanawake kucheat ingali wenyewe unacheat,
Na kama hutaoa maana hutakamilika.
Asante nawasilisha
Point
 
Kumekuwa na mlipuko wa magenge ya mashoga kutaka kushusha thamani ya Ndoa.

Usipokuwa makini unaweza kuingia mkenge
Sio kweli hao pia wanapigania haki za ndoa zao ,kataa ndoa ni alfa male wanaopenda sheria za ndoa ziwe na reform , wanaume wengi ndani ya ndoa wanaishia kuua ,kujiua kwa sababu ya misongo mikali ndani ya ndoa.
 
"Ndoa na iheshimiwe na watu wote" sio maneno yangu bali yatoka katika kitabu kitakatifu ni agizo la mwenyezi Mungu mnao kiuka hili mnakosea,wewe ukifeli wapo wanaoishi na wake zao kwa furaha na amani,ndiyo maana kuna masikini wapo matajiri,wapo waliofeli maisha wapo waliopatia maisha ukiona mtu anapiga vita ndoa kwanza uchumi wake lazima utakua mbovu ukweli ndiyo huo
 
Kwani kuikataa ndoa ndo kukataa kuzichakata mbususu huku nje au me sielewi hoja yenu iko vipi?? 😎
Hoja inakuja ni pale kila mmoja wenu hataki kuoa na ukiangalia hata nchi ya dunia ya kwanza walianza hivi hivi na leo hii wapo wengi wanapigania kutambuliwa kama wao pia ni njinsia pendwa na wanaume wenzao ambao wanaona kero kuoa watoto wa kike.
 
Kuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.
Tuanzie hapo, unamtongoza mke wa mtu ili ugundue nini?
Pili, Kila binadamu ni mdhaifu hatuoi waliokamilika
Tatu, unahimiza watu wakatae ndoa je wewe unafanya mapenzi na mbuzi, mbwavau inzi?
Nne, Kufeli kwako kwa mambo ya ndoa kuna weza athiri mambo ya wengine?
Tano, unadhani ukiwa hauna ndoa ndo utakuwa salama maishani mwako?
KAMA kweli wewe ni mwanaume huwezi kuwa muoga kuoa kwa sababu za kivula, Acha dhana ya kulaumu wanawake kucheat ingali wenyewe unacheat,
Na kama hutaoa maana hutakamilika.
Asante nawasilisha
Utashamgaa huyu ndiye mume wa huyo mwanamke
 
Back
Top Bottom