Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

🤔
 

Attachments

  • 20250422_110643.jpg
    20250422_110643.jpg
    66.6 KB · Views: 23
Hoja inakuja ni pale kila mmoja wenu hataki kuoa na ukiangalia hata nchi ya dunia ya kwanza walianza hivi hivi na leo hii wapo wengi wanapigania kutambuliwa kama wao pia ni njinsia pendwa na wanaume wenzao ambao wanaona kero kuoa watoto wa kike.
Nimeuliza kwani kukataa kuoa ndo kukataa kutomb*?????
 
Sio kweli hao pia wanapigania haki za ndoa zao ,kataa ndoa ni alfa male wanaopenda sheria za ndoa ziwe na reform , wanaume wengi ndani ya ndoa wanaishia kuua ,kujiua kwa sababu ya misongo mikali ndani ya ndoa.
Wanaume wanajiuwa kwa ubinafsi wao wenyewe nioneshe Mwanaume ambae sio Msaliti kwenye ndoa nami nikuoneshe Mwanamke mkamilifu.
 
Kwa sababu unamlipa, yote ma wanawake yako hivyo
Hapana, watu mlioumizwa na Ke mara nyingi huwa kama mleta uzi na wewe.

Ni kama ile kauli ya wanawake kua wanaume wote ni "mbwa", mkishakatiliwa au kuchapiwa huko, huwa mnakuja kuwashambulia huku.

Simlipi, hanilipi alete uthibitishi usio na shaka tu.
 
Chat Gpt anatumia YAS?

anyways wifi mwenyewe anatumia YAS unadhani atakataa wakati jibu ni YAS
Ohoo wewe ni mgeni eeh, hujui kuna apps unaweza kuchat na kupata reply vile unataka wewe??

Msimtetee, alete uthibitisho usio na shaka, ukiachana na hilo anaweza jitumia text sim 1 akajijibu na sim 2.
 
Kuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.
Tuanzie hapo, unamtongoza mke wa mtu ili ugundue nini?
Pili, Kila binadamu ni mdhaifu hatuoi waliokamilika
Tatu, unahimiza watu wakatae ndoa je wewe unafanya mapenzi na mbuzi, mbwavau inzi?
Nne, Kufeli kwako kwa mambo ya ndoa kuna weza athiri mambo ya wengine?
Tano, unadhani ukiwa hauna ndoa ndo utakuwa salama maishani mwako?
KAMA kweli wewe ni mwanaume huwezi kuwa muoga kuoa kwa sababu za kivula, Acha dhana ya kulaumu wanawake kucheat ingali wenyewe unacheat,
Na kama hutaoa maana hutakamilika.
Asante nawasilisha
Nimeipenda hii ,ndio wanaume waliopo sasa .Waoga kwa kila kitu hata kuoa anaogopa nyie
 
Mwanaume unapata wapi nguvu kukataa ukamilifu wako,Mwanaume uli uheshimike lazima uoe,kama hutaki kuoa ina maana we unatafuta wa kukuoa 😂😂🐒
Are you sure ukamilifu wa mwanaume upo kwenye kuoa???

Ni vigezo vipi umetumia kutoa hoja yako?? Una uhakika na unacho kisema kwamba ili mwanaume uheshimike ni lazima uoe???

Nikileta reference ya wanaume wenye nguvu ya ushawishi/ wanaoheshimika ambao hawakuoa/hawajaoa utakuwa na jambo gani jipya la kusema?? 😎
 
Wanaume wanajiuwa kwa ubinafsi wao wenyewe nioneshe Mwanaume ambae sio Msaliti kwenye ndoa nami nikuoneshe Mwanamke mkamilifu.
Dah nilioa mara moja nilipofanikiwa kutoka nilijisikia vizuri mno , mambo ya ndoa ya kuvumiliana ujinga ujinga tu kweli mimi siwezi , ndoa ni zamani chini ya mifumo dume kwa sasa hivi tunawachangia tu mfanye mbwembwe zenu , mwisho wa siku tunakutana na mwanandoa mmoja bar tena mida mibovu🤔
 
Are you sure ukamilifu wa mwanaume upo kwenye kuoa???

Ni vigezo vipi umetumia kutoa hoja yako?? Una uhakika na unacho kisema kwamba ili mwanaume uheshimike ni lazima uoe???

Nikileta reference ya wanaume wenye nguvu ya ushawishi/ wanaoheshimika ambao hawakuoa/hawajaoa utakuwa na jambo gani jipya la kusema?? 😎
Kama ujaoa hatukupi uongozi maana we tunakuhesabu ni mhuni lakini ndani ya nchi hii ya TANGANYIKA NA ZANZIBAR.
 
Are you sure ukamilifu wa mwanaume upo kwenye kuoa???

Ni vigezo vipi umetumia kutoa hoja yako?? Una uhakika na unacho kisema kwamba ili mwanaume uheshimike ni lazima uoe???

Nikileta reference ya wanaume wenye nguvu ya ushawishi/ wanaoheshimika ambao hawakuoa/hawajaoa utakuwa na jambo gani jipya la kusema?? 😎
Yaani ufike miaka 40 usiwepo kwenye ukamilifu wako usitegemee kuheshimika katika jamii labla watu wakuheshimu kinafki kwa sababu ya Mali au cheo.
 
Back
Top Bottom