Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Ukiona unaitiwa fursa ujue wewe ndio fursa ila kwa wanaume aliejipanga kiuchumi kuoa kwa ndoa ni hatari mno na wengi wana oa ni wale wa njoo tutafute wote
Nikuulize we upo kwenye mahusiano au la yaani yale ya kuzagamuana tu.
 
Yaani mtu ana kwambia mimi timu kataa ndoa huku anaishi na Mwanamke mwaka wa 2 na kuendelea tena hawa wakigundua wamechapiwa kuuwa ni sekunde,We kama timu kataa ndoa achana na ule utamuuu kabisa.
HAPANA HAPANA HAPANA,, ule utamu kuliwa lazima uliwe,, tunachokipinga team kataa ndoa ni zile terms and conditions za ndoa,, kiufupi sheria ya ndoa ikibadilika uwezekano wa team kataa ndoa kuamua kuoa ni mkubwa sana 😎
 
Nikuulize we upo kwenye mahusiano au la yaani yale ya kuzagamuana tu.
Uzuri mmoja huwa nakuaga kwenye mahusiano na wanawake ambao na wao wana mtazamo kama wangu , first date tu nakuwa wazi na naeleza mipaka yangu na yake ni ipi .
 
Ndio maana huwezi kunielewa mkuu kwa maana katika maisha yako huna hofu au haupo katika utaratibu wa dini?
Yeah nipo kwenye utaratibu wa maisha ya kibinadamu tu , sihitaji hofu ili nijifanyishe nipo hivi kumbe nipo vile ukitoa hiyo dhana ya hofu.
 
HAPANA HAPANA HAPANA,, ule utamu kuliwa lazima uliwe,, tunachokipinga team kataa ndoa ni zile terms and conditions za ndoa,, kiufupi sheria ya ndoa ikibadilika uwezekano wa team kataa ndoa kuamua kuoa ni mkubwa sana 😎
Kumbe sheria za ndoa ndio zinawakimbiza msioe mimi nilidhani mnakimbia Usaliti ok nihitimishe nyinyi ni Wanaume Dhaifu sana msio kuwa tayari kupambana na matatizo 😁😁😁😁
 
Huku unaingia kwenye siasa na siasa unayoizungumzia hapa ni siasa chafu,, rudi kwenye mada iliyopo mezani mkuu 😎
😁😁😁😁we unapewa Fact unakimbilia Siasa 😁😁😁
 
Uzuri mmoja huwa nakuaga kwenye mahusiano na wanawake ambao na wao wana mtazamo kama wangu , first date tu nakuwa wazi na naeleza mipaka yangu na yake ni ipi .
Ok ila fainali uzeeni naomba upate umri mrefu zaidi ya miaka 80 Duniani.
 
Kumbe sheria za ndoa ndio zinawakimbiza msioe mimi nilidhani mnakimbia Usaliti ok nihitimishe nyinyi ni Wanaume Dhaifu sana msio kuwa tayari kupambana 1ana na matatizo 😁😁😁😁
Sio kwel kama wanawake hawapo tayari kupambana na mwanaume tokea chini , usitegemee kuna mwanaume mpumbavu utamkuta ana kila kitu akawa na amani tu ndani ya hicho kifungo kinaitwa ndoa.
 
Mm mke watu kanipa laki 3 nipange chumba dar es salaam Ili TUWE tunajivinjar Kwa Raha ZOTE lkn kwakwel Hawa wanawake n mtihani sema huyu n classmate Toka msingi huko
Haijalishi kaka, dont compromise hadhi yako, mwanamke akiwa kwenye ndoa lazima uchore mstari.

Have some pride
 
Sio kwel kama wanawake hawapo tayari kupambana na mwanaume tokea chini , usitegemee kuna mwanaume mpumbavu utamkuta ana kila kitu akawa na amani tu ndani ya hicho kifungo kinaitwa ndoa.
Mimi kinacho nishangaza kitu kimoja mnavyo kataa ndoa kama nyinyi ni wakamilifu vile kumbe wanawake wanajua kuvumilia akichoka analiaa machungu yanapungua .
 
Kumbe sheria za ndoa ndio zinawakimbiza msioe mimi nilidhani mnakimbia Usaliti ok nihitimishe nyinyi ni Wanaume Dhaifu sana msio kuwa tayari kupambana na matatizo 😁😁😁😁
Siwezi kukuzuia kuwa na mtazamo kama huo 😊,,, yani mwanaume aonekane dhaifu kwa sababu tu ya kukataa kuingia kwenye ujambazi ulio halalishwa na kikundi fulani hivi cha wahuni 😅😅

HIKI NI KICHEKESHO KIPYA HAKIKA 😂😂
 
Back
Top Bottom