Sio kweli wengi tu nimeona wameoa wakabaki kama kuku vishingo tu .Labda ndevu zitagoma kukomaa.
Hii mkuu umenipiga sisimizi hawezi kumuuwa tembo.😁😁😁 umetuita waoga kama sisimizi lakini umesahau kuwa mwenye uwezo wa kumuua tembo kiurahisi ni sisimizi pekee 😁😁😁
Kaka mm NIPO kwetu Kijiji Hela nishakula naogopa kupakwa weseHaijalishi kaka, dont compromise hadhi yako, mwanamke akiwa kwenye ndoa lazima uchore mstari.
Have some pride
😂😂😂 nime kupiga na nyundo la kupasulia maweHii mkuu umenipiga sisimizi hawezi kumuuwa tembo.
Sasa hapo mpendwa swali ni kwamba huyo Mwanamke mwenye itikadi kama zako ukigongewa utaumia au utakufa na lako moyoni .Sioni umuhimu wa kujiingiza kwenye ndoa ,sioni umuhimu wa kujiletea changamoto ambazo nilikua ninayo nafasi za kuziepuka na hata nikiziepuka hakuna chochote kitakacho pungua kwangu , wapo wanawake kibao wenye itikadi zangu hivyo hakuna huduma za kimwili nitakazo kosa kama wanyama wengine wapatavyo tu bila hata ndoa.
Ukiona mwanaume anakazania kusema "KATAA NDOA" maana yake anataka aolewe yeye, mara chache sana au huwezi kusikia mwanamke akisema kataa Ndoa, kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya wanaume dhaifu (mashoga) wasiopenda kubeba majukumu ya kiumeni . Huwezi kutengeneza jamii iliyo bora ambayo haina misingi ya malezi ya Baba na mama kwa maana ya NDOA.Kuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.
Tuanzie hapo, unamtongoza mke wa mtu ili ugundue nini?
Pili, Kila binadamu ni mdhaifu hatuoi waliokamilika
Tatu, unahimiza watu wakatae ndoa je wewe unafanya mapenzi na mbuzi, mbwavau inzi?
Nne, Kufeli kwako kwa mambo ya ndoa kuna weza athiri mambo ya wengine?
Tano, unadhani ukiwa hauna ndoa ndo utakuwa salama maishani mwako?
KAMA kweli wewe ni mwanaume huwezi kuwa muoga kuoa kwa sababu za kivula, Acha dhana ya kulaumu wanawake kucheat ingali wenyewe unacheat,
Na kama hutaoa maana hutakamilika.
Asante nawasilisha
Ni kweli lakini, kuwa sio rahisi tuwe na mwanamke mmoja labda kwa mambo ya uchumi tu hapo unaweza kuwa na mmoja.Nyie Wanaume mnaoleta mada humu kwamba Mwanaume aliyekamilika hawezi kuwa na Mwanamke mmoja leo hii eti mkatae kuoa sababu Wanawake si waaminifu hii ni ajabu kwa kweli nyani haoni ………🐒😁😁😁
Yaani mpaka nimeogopa huu uwongo😁😂😂😂 nime kupiga na nyundo la kupasulia mawe
Yaan kuna wanaume wamejilea kibinafsi sanaNimeipenda hii ,ndio wanaume waliopo sasa .Waoga kwa kila kitu hata kuoa anaogopa nyie
😅😅😅 kwahiyo mkuu ni mnyama gani au mdudu gani anaweza kumuua tembo kiurahisi???Yaani mpaka nimeogopa huu uwongo😁
Jibu nzuri kama ni hivyo kwa nini muelekeze kidole kimoja kwetu hali ya kuwa vidole vinne vinaelekeza kwenu Wanaume.Ni kweli lakini, kuwa sio rahisi tuwe na mwanamke mmoja labda kwa mambo ya uchumi tu hapo unaweza kuwa na mmoja.
Nadhani Simba japo nae atapata tabu sana au chura kwa story za kijiweni😁😁😅😅😅 kwahiyo mkuu ni mnyama gani au mdudu gani anaweza kumuua tembo kiurahisi???
Mara zote huwa nasisitiza matumizi ya kinga ,najua kugongewa nagongewa kama mgongaji hatobeba mazima sioni tatizo na sinaga mda wakufatilia mtu.Sasa hapo mpendwa swali ni kwamba huyo Mwanamke mwenye itikadi kama zako ukigongewa utaumia au utakufa na lako moyoni .
Kweli kabisa mkuu tuwe makini na watu hawa wasitualibieUkiona mwanaume anakazania kusema "KATAA NDOA" maana yake anataka aolewe yeye, mara chache sana au huwezi kusikia mwanamke akisema kataa Ndoa, kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya wanaume dhaifu (mashoga) wasiopenda kubeba majukumu ya kiumeni . Huwezi kutengeneza jamii iliyo bora ambayo haina misingi ya malezi ya Baba na mama kwa maana ya NDOA.
Yaani mkuu unateseka jamanii huna furaha sasa kinga ya nini 🐒🐒🐒Mara zote huwa nasisitiza matumizi ya kinga ,najua kugongewa nagongewa kama mgongaji hatobeba mazima sioni tatizo na sinaga mda wakufatilia mtu.
Hatari haya mambo.Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Vidole vinaelekea kila jinsia ,tena wanawake wengi tu hasa bongo wanawavumilia viazi kipumbavu sanaJibu nzuri kama ni hivyo kwa nini muelekeze kidole kimoja kwetu hali ya kuwa vidole vinne vinaelekeza kwenu Wanaume.
😂😂😂 aisee,, sawa turudi kwenye mada sasa,, mkuu unahisi ni matatizo gani tunayo ogopa kuya face ndani ya ndoa ingawa kwenye utafutaji wetu kila siku kuna changamoto kibao tunazo kutana nazo na bado tunafanikiwa kuzikabili..????Nadhani Simba japo nae atapata tabu sana au chura kwa story za kijiweni😁😁