Boli linatembea
Senior Member
- Dec 21, 2022
- 115
- 333
Hapa kuna point....mjin shuleUnapitia madanga unasema ni mke wa mtu?
Siku hizi wanakwambia wameolewa ili usiwagande maana wana madanga mengi.
Mkuu umeingia mjini lini?
Hapa kuna point....mjin shuleUnapitia madanga unasema ni mke wa mtu?
Siku hizi wanakwambia wameolewa ili usiwagande maana wana madanga mengi.
Mkuu umeingia mjini lini?
Mbona nina furaha tu nuzu, kinga ni bora kuliko tiba ,hata huko ndoani msijiaminishe sana wengi wameunganishwa kwenye gridi ya taifa na walikua watulivu tuYaani mkuu unateseka jamanii huna furaha sasa kinga ya nini 🐒🐒🐒
😃😃😃😃😃 Huyu ikichomoka lazma aipachike vizuri. Hana baya!Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Kwamba hauamini kwamba wanalika au ?Hapo ukute jamaa anachat mwenyewe kutumia simu zake mbili
Hapana, watu mlioumizwa na Ke mara nyingi huwa kama mleta uzi na wewe.
Ni kama ile kauli ya wanawake kua wanaume wote ni "mbwa", mkishakatiliwa au kuchapiwa huko, huwa mnakuja kuwashambulia huku.
Simlipi, hanilipi alete uthibitishi usio na shaka tu.
Umekurupuka kijana, majukumu yapi hayo unayosema ?Ukiona mwanaume anakazania kusema "KATAA NDOA" maana yake anataka aolewe yeye, mara chache sana au huwezi kusikia mwanamke akisema kataa Ndoa, kampeni ya kataa ndoa ni kampeni ya wanaume dhaifu (mashoga) wasiopenda kubeba majukumu ya kiumeni . Huwezi kutengeneza jamii iliyo bora ambayo haina misingi ya malezi ya Baba na mama kwa maana ya NDOA.
Kwani mkijifanyia faragha yenu kimya kimyaa bila wengine kujua ........ malizana nae kimya kimyaaa
Point. SafiKuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.
Tuanzie hapo, unamtongoza mke wa mtu ili ugundue nini?
Pili, Kila binadamu ni mdhaifu hatuoi waliokamilika
Tatu, unahimiza watu wakatae ndoa je wewe unafanya mapenzi na mbuzi, mbwavau inzi?
Nne, Kufeli kwako kwa mambo ya ndoa kuna weza athiri mambo ya wengine?
Tano, unadhani ukiwa hauna ndoa ndo utakuwa salama maishani mwako?
KAMA kweli wewe ni mwanaume huwezi kuwa muoga kuoa kwa sababu za kivula, Acha dhana ya kulaumu wanawake kucheat ingali wenyewe unacheat,
Na kama hutaoa maana hutakamilika.
Asante nawasilisha
Ukweli ni kwamba shida sio nyinyi kukataa kuoa ukweli usio semwa Wanaume kwa sasa Wanapata K Kwa urahisi sana,Anajiuliza aoe ili iweje wala sio sababu ya matatizo katika ndoa.😂😂😂 aisee,, sawa turudi kwenye mada sasa,, mkuu unahisi ni matatizo gani tunayo ogopa kuya face ndani ya ndoa ingawa kwenye utafutaji wetu kila siku kuna changamoto kibao tunazo kutana nazo na bado tunafanikiwa kuzikabili..????
Mke wa mtu naye ni binadamu. Wewe unayemtongoza unakosea sana. Ukitendewa unyama na mumewe utalalamika? Ingekuwa vyema ukatae ndoa na kuamua kupiga nyeto maisha yako yote badala ya kutongoza wake za watu.Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Awe bora tupime na ganda lake NoMbona nina furaha tu nuzu, kinga ni bora kuliko tiba ,hata huko ndoani msijiaminishe sana wengi wameunganishwa kwenye gridi ya taifa na walikua watulivu tu
Hiyo pia ni moja wapo ya sababu , wanadai ufuge ng'ombe wa nini wakati maziwa lita ni buku , na gharama za kutunza ng'ombe ni mamilioni na unaweza tunza mtu akaja bandani kwako akakamua bure tuUkweli ni kwamba shida sio nyinyi kukataa kuoa ukweli usio semwa Wanaume kwa sasa Wanapata K Kwa urahisi sana,Anajiuliza aoe ili iweje wala sio sababu ya matatizo katika ndoa.
Kaka kukataa ndoa kuna husiana vipi na upigaji wa nyeto kama upo nnje ya ndoa na unaweza pata kila siku bila hata kikwanzo ?Mke wa mtu naye ni binadamu. Wewe unayemtongoza unakosea sana. Ukitendewa unyama na mumewe utalalamika? Ingekuwa vyema ukatae ndoa na kuamua kupiga nyeto maisha yako yote badala ya kutongoza wake za watu.
😂😂 daah sikutegemea kabisa kukutana na jibu kama hili but umegusa mule mule Nuzulati.Ukweli ni kwamba shida sio nyinyi kukataa kuoa ukweli usio semwa Wanaume kwa sasa Wanapata K Kwa urahisi sana,Anajiuliza aoe ili iweje wala sio sababu ya matatizo katika ndoa.
Ukikuta mtu anaichukia ndoa tumuombe afunuliwe ajue mpango wa Mungu kwetu kwenye ndoa .Yas kama Yas
Kwenye hiyo biblia yako wewe na daudi nani anaheshimika na dini ,Daudi aliyekula mke wa mtu na kuua kabisa mume wake ?Ukikuta mtu anaichukia ndoa tumuombe afunuliwe ajue mpango wa Mungu kwetu kwenye ndoa .
Msomaji nisomee Mithali 18:22 inasemaje
Apataye mke apata kitu chema;
Naye ajipatia kibali kwa BWANA.
Sasa kama ndoa imetolewa na Muumba mwenyewe maana yake imebarikiwa na wana heri wale ambao wameoa na kuolewa na wakatulia kwa upendo, Tenaaa utakuwa umepata kitu chema.
Soma
Waebrania 13:4
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Sasa siku hizi kuna majanga mengi kwa kukosa kuheshimu ndoa kama vile kutongoza wake za watu kama ulivyofanya ,kuandaa operation za kukataa ndoa ,
Hivyo basi hata wewe ambaye hutaki ndoa haupo salama , pole kwa hili , Chukua hatua
Asante nawasilisha
Sema nyie kataa ndoa mnaenda kuleta tatizo hili kuwa sugu na vizazi vyetu kuzalia nyumbani bila ndoa kuona jambo la kawaida.Hiyo pia ni moja wapo ya sababu , wanadai ufuge ng'ombe wa nini wakati maziwa lita ni buku , na gharama za kutunza ng'ombe ni mamilioni na unaweza tunza mtu akaja bandani kwako akakamua bure tu
Binti mpaka afike hatua ya kuweza kuzaa anafanya nini nyumbani kwangu mpaka azalie hapo?Sema nyie kataa ndoa mnaenda kuleta tatizo hili kuwa sugu na vizazi vyetu kuzalia nyumbani bila ndoa kuona jambo la kawaida.
Huko kote mnazunguka mkuu yaani hicho ndio chanzo kikuu cha tatizo 😁😁😁😂😂 daah sikutegemea kabisa kukutana na jibu kama hili but umegusa mule mule Nuzulati.