min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ndoa kunishinda hilo wala kwangu sio tatizo , pia nawe utambue kuna wasio na ndoa wana baraka na furaha.Pole, kumbe ndoa yako ilikushinda ndio maana umekuwa na hasira ya kuipinga hivi. Tambua kuna ambao ndoa kwao imekuwa baraka na furaha