Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Ndoa ni zaidi ya ngono.
Ukweli ni kwamba mke hajawai kuwa na mbadala licha ya changamoto zake kama zilivyo changamoto za mme.
Nadhan tuache kujimilikisha watu.
Orodha ya kimajukum katika ndoa ni ndefu mno.
Kumfukunyua mwenzako ni sawa na kujimilikisha mtu(kiumbe cha Mungu).
Mwanaume/mwanamke una mengi ya kufanya kabla ya kuhangaika na mkeo/mmeo anatembea na nani!
Kataa ndoa wanasumbuliwa na wivu uliopitiliza na tamaa ya kumiliki binadam!
Hata hivyo..... Sijaoa!!
 
Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.

Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Sio wanawake wote…. Kama umeenda kuokota wanawake maporini huko…. Wanaume wenzio watakusaidia

ndoa yoyote- gvt , kimilq/ kidini ni muhimu. A man is not full complete mpaka uweze kuish na familia.

Mwanamke anaetoka nje ni mpumbavu: she has two options only

1. Kuomba talaka au kuachana
2 kukuvumilia
Kucheat is not an option , ni tabia zaidi
Once mwanamke akianza kugawa, the family is no longer safe. Moja ya principal yangu ni SEX NJE ya. Ndoa kwa mwanamke haina excuse wala msamaha. Kama ni kusamehewa atasamehewa na mungu wake not me :
 
Back
Top Bottom