Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Kabiiiiiiisa rafiki. Ndoivo nyie telezeni tu maisha ndio hayaahaya
Kabisa hata mimi nimekuja kuona hivyo dakika za jioni kabisa ,ukute jamaa ana teleza na pisi ya mwamba halafu yeye kaacha mke wa jamaa🤔

Mimi naamini mpaka mke wa mtu akubali unakuta na jamaa ni kibaka tu ashampiga matukio bibie mpka basi.
 
As long as anakuja mwenyewe na anakupa bila hiyanaa aah wee kosa lako Nini???

Wee suguaaa tu 😁😁

Cc Smart911
 
Kuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.
Tuanzie hapo, unamtongoza mke wa mtu ili ugundue nini?
Pili, Kila binadamu ni mdhaifu hatuoi waliokamilika
Tatu, unahimiza watu wakatae ndoa je wewe unafanya mapenzi na mbuzi, mbwavau inzi?
Nne, Kufeli kwako kwa mambo ya ndoa kuna weza athiri mambo ya wengine?
Tano, unadhani ukiwa hauna ndoa ndo utakuwa salama maishani mwako?
KAMA kweli wewe ni mwanaume huwezi kuwa muoga kuoa kwa sababu za kivula, Acha dhana ya kulaumu wanawake kucheat ingali wenyewe unacheat,
Na kama hutaoa maana hutakamilika.
Asante nawasilisha
Umeongea kila kitu...ivi vijamaa vioga vya maisha vinataka kila mtu awe kama wao wapiga nyeto.
 
Hapana, ili upigane au hahaha...
😁😁!

Nguvu za za kugombana nazitoa wapi mi😁😁Najua siku mbili nyingi watanirudishia Kibaka wangu make kwa akili zako mbili kasoro hawatakuweza 😂😂😂😂😁!
 
😁😁!

Nguvu za za kugombana nazitoa wapi mi😁😁Najua siku mbili nyingi watanurudishia Kibaka wangu make kwa akili zako mbili kasoro hawatakuweza smart 😂😂😂😂😁!
Nipo kama nilivyo...
Hata ukinichokoza huaga sinaga neno...

Ukitaka simu yangu nakupa utaamua mwenyewe siku ya kunirudishia...
 
Back
Top Bottom