Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Kula kimasihara kinga huwa haihusiki ujuwe..!!!Miandiko yenu wote mmeishia la nne B. Vaa kinga haujatunukiwa peke yako hio
Kula kimasihara kinga huwa haihusiki ujuwe..!!!Miandiko yenu wote mmeishia la nne B. Vaa kinga haujatunukiwa peke yako hio
Kwamba patupatupatu anakwenda kulipa za kutolea?Mpaka akaacha shughuli zake huyoooo patupatupatuu mpaka kwako wee ndugu yake mfyyuzake!!! Hapo ukute ashakula na za kutolea kadhaaa weeeee !l
Cc Smart911
Yule ni certified Kibaka wee ukasome 😊😊! Humuwezi !Hahaha...
Na mmefanana haswa...
Unaniruhusu nionane na sister wako...
Demi katika ubora wako wallah..!!!Wakati sasa umefika mtambue kwamba ukimuoa haina guarantee kwamba ni mali yako peke yako.
Na yeye ni binadamu. Akiamua kuliwa ataliwa tu kama ambavyo na wewe unakula wengine na umeoa.
Nakuheshimu sana ujue sweetheart... 😅😅Yule ni certified Kibaka wee ukasome 😊😊! Humuwezi !
😀😀😀 kwamba na yeye ni kibaka, only that hajawa certified..!!! Mna mabo nyie..!!Yule ni certified Kibaka wee ukasome 😊😊! Humuwezi !
Kwamba kilichobaki tukulane tu..!!Abeeee
Ndo maana yake..tunajipa stress za bure tu. Imagine eti uishi na mtu miaka 50 mnapitia milima na mabonde unamla/unaliwa na huyo huyo kila siku in the name of marrige , inawezekana vipi jamani.Kwamba kilichobaki tukulane tu..!!
😂😂😂😁!Kwamba patupatupatu anakwenda kulipa za kutolea?
Kwani Demi unataka ukulwe na wangapi jamani???Ndo maana yake..tunajipa stress za bure tu. Imagine eti uishi na mtu miaka 50 mnapitia milima na mabonde unamla/unaliwa na huyo huyo kila siku in the name of marrige , inawezekana vipi jamani.
Kwamba za kutolea si za bure na wala mbususu si ya bure..!!😂😂😂😁!
Ye mwenyewe anajua hawezi kusalimika😁 ! Hakunaga cha buree walai labda me akimuona asimuelewe tu. Sio kwa karne tuliyopo hii
andaa mnduku wako huoHuyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Kibaka wangu akili zake anazijua mwenyewe huyo😁😁😁!😀😀😀 kwamba na yeye ni kibaka, only that hajawa certified..!!! Mna mabo nyie..!!
Ngoja tuyaache maana ugomvi wa ndugu siyo mzuri haswa ikibainika wanagombania kutenda dhambi...Nasemajeeee Nikifikisha salamu niite mbwa nimekaa paleeeeeeeee!! 👉👉👉👉
Yule matawii humuwezi Smart 😊😊
Kugombania Kutenda dhambi 😂😂😂😂😂😂!Ngoja tuyaache maana ugomvi wa ndugu siyo mzuri haswa ikibainika wanagombania kutenda dhambi...