Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

Kutembea kwenda wapi mkuu we huoni raha kuwahadithia wajukuu zako mimi na babu yenu tulioana yaani wajukuu wanakupa heshima ya ziada 😁😁😁
Unahadithia nini akati we bibi kizee meno huna wajukuu zako watakuelewa kwel au utaishia kunywa uji wa ulezi kilasiku asubuhi.. mda huo utabaki na kithembe tuu we acha kila mtu aishi maisha yake...
 
Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.

Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa.
Alokwambia ndoa ni ya watu wajinga ni nani?

Ndoa ni kwa wenye akili peke yao, wajinga tafadhari!
 
mwenyekiti ashapatikana kitambo ambaye ni 50cent katibu wake ni chris brown,harakati za kataa ndoa zimeanzia marekani mkuu
Ohooo kumbe! Nilidhani zimeanzia jf humu!

Halafu pia kuna CR7 mwamba kabisa.

Kuna matajiri Bill Gates na Elon Musk hivyo chama hakitokuwa na njaa ndogondogo.

Guardiola naye anafukuzia kadi ya uanachama.
 
Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.

Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
No doubt nikishaona maneno kama Ndy, Akuna na kadhalika basi naingia kwenye judgement.. anyway huyu mke wa mtu ana hitaji msaada mkubwa. IQ yake ni kichefu chefu pia.
Kila la kheri mdau ka mgegedue uvalishwe shanga siku yako.
 
Ilikuwa hakuna ulazima wa kuleta faragha humu (text) uzi ulitosha, hii unaashiria unaweza kutoa siri na kupunguza uaminifu
 
Yakikukuta uje na Uzi huu useme wake za watu ni sumu
 
Kila mtu yuko weak - hakuna shujaa, awe mme au mke, tunachofanya ni kukimbia mazingira yanoyoweza kutufanya tushawishiane - Biblia imesema kabisa - tusinywe pombe na mke wa mtu - au kukaa kwenye mazingira kama hayo maana nyote mtaanguka.
Hivyo ukimtongoza mke wa mtu, akakukubali usishangae, CHA KUJIULIZA KWA NINI UTONGOZE MKE WA MTU??UNATAFUTA NINI HASA??
Tena kuna nyie - unamtongoza, anakubali then unakuja kumtangaza, point ni NINI HASA???
Hakuna mtu mgumu kwenye hayo mambo, yanahitaji kujiheshimu, kujitahidi kuwa na kiasi na kukataa mazingira ya vichocheo, otherwise mke na mme wa mtu mnakulana vizuri tu
 
Ohooo kumbe! Nilidhani zimeanzia jf humu!

Halafu pia kuna CR7 mwamba kabisa.

Kuna matajiri Bill Gates na Elon Musk hivyo chama hakitokuwa na njaa ndogondogo.

Guardiola naye anafukuzia kadi ya uanachama.
haha kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom