Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,789
- 39,513
We utafanya nini,utamuuwa 😁Binti mpaka afike hatua ya kuweza kuzaa anafanya nini nyumbani kwangu mpaka azalie hapo?
We utafanya nini,utamuuwa 😁Binti mpaka afike hatua ya kuweza kuzaa anafanya nini nyumbani kwangu mpaka azalie hapo?
Yani kuvunjika kwa mfumo dume ndio kumeleta hata hizi ofa za kupata maziwa bure bure tu bila kufuga ng'ombe, mambo ya haki sawa yalikua mazuri kwa baadhi ya mambo ,ila yamevuka mpaka sasa, ndio maana hata dini ya Uislam bado ina maadili kidogo kwa sababu mifumo ya kisasa imeshindwa kuvunja mfumo dume ndani ya dini.Huko kote mnazunguka mkuu yaani hicho ndio chanzo kikuu cha tatizo 😁😁😁
Ukikua utafahamuUmekurupuka kijana, majukumu yapi hayo unayosema ?
Kwa umri wa kubeba mimba atakua ameshajitegemeaWe utafanya nini,utamuuwa 😁
😁😁 tuna hitimishia hapa mkuu,, tukikutana uzi mwingine usije kwenda kinyume tena na hii hoja yako 😂😂Huko kote mnazunguka mkuu yaani hicho ndio chanzo kikuu cha tatizo 😁😁😁
Atakuwaje na wajukuu wakati mwenyewe ndoa haitaki , Ndoa ndio msingi mkuu wa ustawi wa jamii yoyote ileTafiti zinaonesha kulingana na trend ya matukio kufikia 2050 kila mwanaume aliye chini ya jua atakuwa team KATAA NDOA, na taasisi hii iliyoanzia bongo itakuwa rasmi na yenye mafanikio makubwa sana worldwide.
Kwahiyo muasisi asikae kizembe ili wajukuu wake waje kula kuku kwa mrija. Nikiona anazembea nitajitwisha huo uasisi
Jibu kwa hoja , majukumu yapi uliyonayo wewe mwenye ndoa ambayo mimi sina?Ukikua utafahamu
Well saidKumekuwa na mlipuko wa magenge ya mashoga kutaka kushusha thamani ya Ndoa.
Usipokuwa makini unaweza kuingia mkenge
Daudi alikula mke wa mtu lakini aliitambua DHAMBI yake na alikiri kosa lake .Kwenye hiyo biblia yako wewe na daudi nani anaheshimika na dini ,Daudi aliyekula mke wa mtu na kuua kabisa mume wake ?
Kukataa ndoa ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume.Kaka kukataa ndoa kuna husiana vipi na upigaji wa nyeto kama upo nnje ya ndoa na unaweza pata kila siku bila hata kikwanzo ?
Japani ni nchi inayoongoza kwa viwango vya ndoa chache na vijana wengi huchukua maamuzi ya kutooa kabisa ,ustawi wa hiyo jamii unauona vipi halafu linganisha na nchi yako hata kimaadili tuAtakuwaje na wajukuu wakati mwenyewe ndoa haitaki , Ndoa ndio msingi mkuu wa ustawi wa jamii yoyote ile
Ni kweli mfano Nchi za kiarabu Mwanaume lazima aoe ametaka asitake sasa utakaa na ugumu mpaka lini na ukigundulika umezini adhabu ni tofali za kichwa hadi kifo.Yani kuvunjika kwa mfumo dume ndio kumeleta hata hizi ofa za kupata maziwa bure bure tu bila kufuga ng'ombe, mambo ya haki sawa yalikua mazuri kwa baadhi ya mambo ,ila yamevuka mpaka sasa, ndio maana hata dini ya Uislam bado ina maadili kidogo kwa sababu mifumo ya kisasa imeshindwa kuvunja mfumo dume ndani ya dini.
Hizo hadithi kama hadithi zingine tu wewe umejuaje huyo mtu angekula mke wa huyo mtu na angekuja tambua hicho unachoita dhambiDaudi alikula mke wa mtu lakini aliitambua DHAMBI yake na alikiri kosa lake .
Hivyo kilichompa Heshima ni kutambua Ukuu wa MUNGU sio kutenda Uzinzi.
Toba ya Daudi
Soma 2 Samweli 12:13
Daudi akamwambia Nathani, Nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa.
Zaburi 51:1-2
Ee Mungu, unirehemu,
Sawasawa na fadhili zako.
Kiasi cha wingi wa rehema zako,
Uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu,
Unitakase dhambi zangu.
Maana nimejua mimi makosa yangu
Na dhambi yangu i mbele yangu daima.
Nimekutenda dhambi Wewe peke yako,
Na kufanya maovu mbele za macho yako.
Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo,
Na kuwa safi utoapo hukumu.
Zaburi 51:10Ee Mungu, uniumbie moyo safi,
Uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu
Nadhani umeona jinsi DAUDI alivyojishusha baada ya kosa lake., jishushe uinuliwe
Asante nawasilisha
Kabisa ndoa ilikua imeshikiliwa na mifumo dume ,kifo cha mfumo dume ni kifo cha ndoa.Ni kweli mfano Nchi za kiarabu Mwanaume lazima aoe ametaka asitake sasa utakaa na ugumu mpaka lini na ukigundulika umezini adhabu ni tofali za kichwa hadi kifo.
Huyu hashushiwi bakora kali za kiunoni mpaka kikapinda, mume wake anampapasa tu, mke wa ndoa hakikisha unatandika kiono hiko mpaka miguu ipinde, atembee upande bila hiyo wahuni watakusaidia kaziHuyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Hizi ni dhana tu hakuna ujanja wowote wa mtu kukubali kufungishwa ndoa na kutia masaini yake kwenye yale makaratasiKukataa ndoa ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume.
Pole, kumbe ndoa yako ilikushinda ndio maana umekuwa na hasira ya kuipinga hivi. Tambua kuna ambao ndoa kwao imekuwa baraka na furahaDah nilioa mara moja nilipofanikiwa kutoka nilijisikia vizuri mno , mambo ya ndoa ya kuvumiliana ujinga ujinga tu kweli mimi siwezi , ndoa ni zamani chini ya mifumo dume kwa sasa hivi tunawachangia tu mfanye mbwembwe zenu , mwisho wa siku tunakutana na mwanandoa mmoja bar tena mida mibovu🤔
Upinde hawaNikuulize we upo kwenye mahusiano au la yaani yale ya kuzagamuana tu.
Eti nafanya kumuenjoy toa uasherati wako , watu wanaotongoza wake za watu ni sawa na madomo zege, unashare na mwanaume ambaye amechuma kwa jasho na kumtunza MKEWE wewe hutaki kupoteza pesa zako kisha unasema kataa ndoa uku unang'ang'ana na wake za watu walioko kwenye ndoa. Eti kataa ndoa kichwa kama mkononwako wa kulia ukiwa umeshika sabuni.Fact bro siwezi kutoka na mke wa mtu, kwanza naogopa pili huyu ni mtu mzima nafanya kumuejoy tu muda sio mrefu napiga block