Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Chart GPT inatumia Normal text?? Sipo hapa kuintertain hutaki kuamini kaaa kuleLeta uthibitisho usio na shaka, hizo texts si ajabu ulikua unachat na chat gpt
Kuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Depression is real pole sana mkuu ila utapona Naona unaleta hisia🤣Kuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.
Tuanzie hapo, unamtongoza mke wa mtu ili ugundue nini?
Pili, Kila binadamu ni mdhaifu hatuoi waliokamilika
Tatu, unahimiza watu wakatae ndoa je wewe unafanya mapenzi na mbuzi, mbwavau inzi?
Nne, Kufeli kwako kwa mambo ya ndoa kuna weza athiri mambo ya wengine?
Tano, unadhani ukiwa hauna ndoa ndo utakuwa salama maishani mwako?
KAMA kweli wewe ni mwanaume huwezi kuwa muoga kuoa kwa sababu za kivula, Acha dhana ya kulaumu wanawake kucheat ingali wenyewe unacheat,
Na kama hutaoa maana hutakamilika.
Asante nawasilisha
AI haishindwi kitu, sipiti kule mpaka ulete ushahidi usio na shaka kua huyo ni mke wa mtu sio roboti la mtandaoni.Chart GPT inatumia Normal text?? Sipo hapa kuintertain hutaki kuamini kaaa kule
Umeandika kwa hisia sana😅😅🤌Kuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.
Tuanzie hapo, unamtongoza mke wa mtu ili ugundue nini?
Pili, Kila binadamu ni mdhaifu hatuoi waliokamilika
Tatu, unahimiza watu wakatae ndoa je wewe unafanya mapenzi na mbuzi, mbwavau inzi?
Nne, Kufeli kwako kwa mambo ya ndoa kuna weza athiri mambo ya wengine?
Tano, unadhani ukiwa hauna ndoa ndo utakuwa salama maishani mwako?
KAMA kweli wewe ni mwanaume huwezi kuwa muoga kuoa kwa sababu za kivula, Acha dhana ya kulaumu wanawake kucheat ingali wenyewe unacheat,
Na kama hutaoa maana hutakamilika.
Asante nawasilisha
Huyu inaonekana anachapiwa alafu anavumiliaUmeandika kwa hisia sana😅😅🤌
Nakushauri dont ever ukamkubalia hilo swala. Hao wanakuwaga hawana akili na ni wapumbavu.Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Unapitia madanga unasema ni mke wa mtu?Huyu ni mke wa mtu, nimefanya kumtania tu ila tayari ameingia kwenye kumi na nane.
Binafsi ntachelewa sana kuoa kama wanawake wenyewe ndio hawa...View attachment 3326802
Fact bro siwezi kutoka na mke wa mtu, kwanza naogopa pili huyu ni mtu mzima nafanya kumuejoy tu muda sio mrefu napiga blockNakushauri dont ever ukamkubalia hilo swala. Hao wanakuwaga hawana akili na ni wapumbavu.
Kama yuko tayari kumfanyia mume wa ndoa hivyo ,you are next
Kumekuwa na mlipuko wa magenge ya mashoga kutaka kushusha thamani ya Ndoa.Kama hautaki ndoa ni sawa hamna tatizo lakini kuwahadaa wengine si sahihi..Kama unaweza kuzini bila ya ndoa ni sawa ila wengine BIG No.
Usipooa hutakamilika kivipi jibu kwa hojaKuna mambo ukifikiria sana unaweza sema mambo magumu sana.