Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

Hongera kwa kuokota kiwanja stand endelea kutafuta hela ujenge.
 
Umeishakul mzigo?
 
Wewe sio mzee wa fact .... Unalikosea heshima jina lako. [emoji1][emoji1][emoji1] haliendani na andiko... Umeonyesha udhaifu mkubwa.... Unampendaje mke wa mtu mzee na watoto wawil kbsa
 
Unajiita mzee wa fact halafu unashindwa kufikiri, demu ana watoto wawili wa kazi gani.
 
Watakutatua marinda
 
..........inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa...........

Umepewa asali kidogo wataka chonga mzinga..... ashakwambia ana mumewe .. elewa kuna mda mumewe anamkera ndo anakuja kujifariji kwako, akitoka apo anajizima data
 
Honey trap!Be strong,delete her!ndivyo walivyo!wanakuweka kwenye mtego waanze kuchezea hisia zako Ili wapate wanachotaka!!

Makinika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…