Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

Si wametengana vyumba na mumewe simple tu We hamia hapo ukaishi nae kwenye hcho chumba cha bibie nakuhakikishia hta cm yake mda mwingi utakuwa nayo wewe hutopata tena usumbufu
 
Nilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.

Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.

Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.

Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.

Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.

Ushauri wenu wanajamvi
Acha uzinzi ndoa na iheshimiwe na watu wote acha uzinifu mtafute mke wako wa halali huyo sio wa kwako acha zinaa
 
Acha kabisa Kaka single mama hapendwi.Wanaume dhamani yetu Iko wapi umeshindwa kupata Bikira basi tafuta ambaye Hana mtoto kabisa.Mnapata wapi ujasiri wa kuwalea watoto sio wenu.
 
Back
Top Bottom