Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mbona wanawake wapo wengi sana kwann mke wa mtu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kujenga kwenye hifadhi ya barabara
Acha uzinzi ndoa na iheshimiwe na watu wote acha uzinifu mtafute mke wako wa halali huyo sio wa kwako acha zinaaNilianza mahusiano na dada fulani mwenye watoto wawili awali alinambia wameshatengana na mumewe na wanaishi nyumba moja kila mtu na chumba chake na kweli tulikua tukichat mpaka usiku wa manane.
Nimempenda Sana na yeye ameonyesha kunipenda lakini taratibu kadri tunavyoenda muda wa mawasiliano unapungua.
Mara aseme mumewe yupo na hata tukikutana kwa Sasa anakua mtu mwenye wasiwasi mwingi tofauti na awali.
Nahisi mapenzi na mumewe yameanza kurudi inanitesa Sana sababu nilishaanza kuwa na malengo na yeye na nimempenda haswa.
Japo kila nikimwambia anieleze ukweli kama wamerejeana na mumewe anakanusha na kudai moyo wake upo kwangu pale yupoyupo tu.
Ushauri wenu wanajamvi
Aitwe mzee wa bwax tu🤣Wewe sio mzee wa fact .... Unalikosea heshima jina lako. [emoji1][emoji1][emoji1] haliendani na andiko... Umeonyesha udhaifu mkubwa.... Unampendaje mke wa mtu mzee na watoto wawil kbsa
Heshimu ndoa ya mwanaume mwenzio kabla hujaaibishwa.Ushauri wenu wanajamvi
Nini kimekuliza?Huu uzi umeniliza sana.....
Acha tu kakaNini kimekuliza?
Au ndio wewe unamdanganya na kumtesa kijana wetu?Acha tu kaka
Nilitaka nikutag kumbe ushafika mwanangu 🤓😂😂😂😂
Alafu anataka alime mahindi🤣🤣Huyu amepata shamba national park😂😂😂
Inasikitisha sana mkuuYani huko serious unaumizwa na mwanamke na unajua ni mke wa mtu na wanawatoto bado wanaume dhaifu wako wengi sana