Mke wa mtu kanidanganya ananitesa

Aisee embu achana na huyo dada mara moja bwana .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza mwanamke aliyezaa ili kumuamini... AONYESHE DEATH CERTIFICATE NA KABURI UKALIONE... Never the less, BOMU LA NYUKLIA UMELITENGENEZA.. Subiri Lilipuke
 
Pole
 
Mmh utapigwa na kitu kizito mkuu mtu anasema wametengana then anaishi nae nyumba moja na unamini kabisa.
 
Mahusiano yeyote ambayo kimtindo sio mazuri kwenye maadili ya kijamiii yanakuaga matamu sana na yanaumiza watu wote yaan mpenda, mpendwa, mfichaji, mfichwa na stakeholders wa 🍑🍆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…