Mke wa Mtu Sumu: Asiyesikia la Mkuu Huvunjika Guu

Nakumbuka miaka ya 2010 nikiwa nimetoka chuo, bado nanuka optimism ya maisha. Nilikuwa na uhakika kwamba mshahara wangu wa kwanza ungekuwa milioni moja, na mawazo mengine ya mchana kama hayo yalinifanya niamini kuwa maisha yangenyoosha tu. Katika kipindi hicho, nilijijengea utamaduni wa kujichanganya na wazee wa kijiweni pale Kinondoni Studio, jijini Dar es Salaam.

Niliingia kijiweni kama kijana mwenye ndoto kubwa na matumaini tele, lakini nilitoka nikiwa nimebeba hekima ya maisha. Nikajifunza kuwa dunia si lelemama, na kuna mambo ambayo ukiyafanya, basi gharama yake ni kubwa zaidi ya unavyoweza kufikiria.

Miongoni mwa mafunzo makubwa niliyopata ni kwamba wanaume wanapaswa kuheshimiana kwa kutohusiana na wake za watu. Lilikuwa somo lililorudiwa mara kwa mara, na kila niliposikia wazee wakilisema, nilihisi uzito wake. "Kuna mambo ukifanya, utaomba bora ungeuawa, kwani fedheha yake ni mbaya zaidi ya kifo," alisema mzee mmoja pale kijiweni.

Na kama kuna hadithi iliyothibitisha hilo, ni ile aliyotueleza kuhusu kilichomkuta dereva mmoja wa teksi miaka ya 90.

Hadithi yenyewe ilikwenda hivi…

Alionywa, Lakini Akadharau

Katika kijiwe cha teksi maeneo ya Kinondoni, kulikuwa na dereva mmoja aliyepata mteja wa kudumu—mke wa mwanajeshi. Mwanamke huyo alipozoea huduma yake, alihakikisha kwamba haendi na dereva mwingine yeyote. Muda si mrefu, uhusiano wa kibiashara ukageuka kuwa uhusiano wa kimapenzi.

Kwa muda, walifurahia penzi lao la siri. Mwanajeshi, bila kujua, alikuwa akitoa pesa za matumizi na mizunguko, lakini kumbe zilikuwa zinaishia malodge na magesti.

Baadhi ya madereva wenzake kijiweni walimwonya:

Lakini kijana alikuwa na kichwa kigumu. Aliona kama wanamwonea wivu kwa sababu amepata "zali" la mentali lenye malipo mazuri na starehe ya bure.

Hakujua kuwa siku za mwizi ni arobaini.

Njama Zafichuka

Kwa bahati mbaya kwake (na nzuri kwa mjeda), kuna jamaa mtaani aliyegundua kinachoendelea. Jamaa huyo, kwa kutumia mbinu za kipelelezi, alikusanya ushahidi wa kutosha na akaenda kumtonya mume wa mtu.

Mwanajeshi hakupoteza muda. Alianza kupanga mpango wa kulipiza kisasi bila kuonyesha dalili zozote kwa mkewe.

Siku moja, kama kawaida yao, mke wa mtu na mchepuko wake walipanga kukutana gesti. Mwanajeshi, kwa ustadi wa kijeshi, alijifanya ana safari ya ghafla na kumwambia mkewe. Mwanamke, kwa furaha, aliiachia nafasi hiyo bila hofu yoyote, akidhani amepata muda wa kuwa na mpenzi wake wa siri bila mashaka.

Alichosahau ni kwamba mjeda alishatengeneza mtego.

Mtego Wanasa

Wakiwa chumbani, wakiendelea na mambo yao, ghafla mlango ulipigwa teke moja zito!

Wakaingia ndani wanaume wa miraba minne, wakiongozwa na mjeda mwenyewe.

Mke wa mtu alipigwa vibao vya uso kwa nguvu hadi akatema meno mawili. Mjeda kisha akawageukia wenzake na kuwaamuru:

Wanaume wawili wenye miili mikubwa walimbeba na kumtoa nje huku akilia na kuomba msamaha.

Lakini kwa mchepuko wake, mambo hayakuwa mepesi.

Dereva huyo alipigwa kwa nguvu huku akitukanwa na kukemewa kwa ukosefu wa heshima. Alijaribu kuomba msamaha, lakini hakusikilizwa. Hatimaye, alipigwa kwa nguvu kichwani na kuzimia pale pale.

Fedheha Iliyoshinda Kifo

Kilichotokea baada ya hapo hakikujulikana mara moja.

Kwa siku kadhaa, dereva huyo hakufika kijiweni. Wenzake walishangaa kimya chake, lakini hakuna aliyekuwa na ujasiri wa kuuliza.

Siku chache baadaye, alirejea. Alionekana kama mtu aliyepoteza roho yake. Macho yake hayakuwa na uhai ule wa zamani.

Kwa siku mbili tatu, alihisi kuna kitu hakipo sawa. Watu walimkwepa, wengine walimtazama kwa huruma, na wachache walikuwa wakimpa pole bila maelezo.

Hatimaye, rafiki yake wa karibu alimvuta pembeni na kumkabidhi bahasha ndogo.

Dereva alipoifungua, mwili wake ulitetemeka.

Ndani yake kulikuwa na picha kadhaa.

Alipozitazama, miguu yake ilikosa nguvu. Alikaa chini ghafla, huku macho yake yakikodoa kwa mshtuko.

Ilikuwa picha yake akiwa uchi wa mnyama, akiingiliwa kinyume cha maumbile na wanaume wa miraba sita.

"Hizi picha zilibandikwa kote mtaani. Zimeonekana kwenye mistimu, kwenye kituo cha mabasi pale, na zingine zimeokotwa. Tumefika hapa kijiweni tukakuta zimebandikwa. Ni nyingi sana, tumezibandua tulivyoweza."

Siku hiyo, dereva aliacha gari yake pale kituoni pamoja na funguo zake. Baadaye, bosi wake alipewa funguo hizo.

Hakuna aliyewahi kumuona tena.

Alitoweka na kuacha historia ya fedheha ambayo watu bado wanazungumzia mpaka leo.

Hitimisho

Mke wa mtu ni sumu. Sumu mbaya kuliko hata sumu ya nyoka.
Hatari sana
 
Chai 🍵 ili kutisha watu. Akuna! Tutaendelea kuwabokoa na kugawa dozi kwa idadi kama watalavyokuja
Mwingine wa sampuli yako alisokomezewa kaa la moto jua lisikowaka maeneo ya buza hapo, endelea living dangerously
 
Kwa hiyo wa muuza genge ndiye anayepaswa atembelewe?

By the way,vijana wa kihuni wenyewe wana usemi wao “kama mke wa mtu sumu watamla na maziwa” labda zao hazijafika za kupigwa picha tuendelee kusubiri
Tusubiri 😹🙌🏾
 
Ni kweli mke wa mtu sumu lakini tu/walio kwenye ndoa hawatimizi wajibu wao ipasavyo.
Mfano kabla hamjaoana mlikuwa mkikutana utaandaliwa kwa kulambwa na kunyonyaa mwili wote hadi kwenye kinyeo, mwanamme anapiga round mbili hadi tatu muda huo na mwanamke naye muda huo nazungusha kiuno kama feni mbovu kilio kama mtoto mchana na kuchanua miguu kama yote style zote yumo. Chuma mboga,mbuzi kagoma kwenda, chuma matembele, popo kanyea mbingu, mama mkanye mwanao, kifo cha mende, 69, si ulitaka mwenyew n.k
Sasa ukishaingia kwenye ndoa kwanza mnajikuta kama kaka na dada mwanamme anapiga kimoja tu tena bila maandalizi mpka kesho na hata wiki mnakutana mara mbil tu huku mwanamke yeye kalala kama gogo la kuchoma mkaa. Maana hata akikufinyia kwa ndani anajua utamuacha na hamu zake.
Hakika nakwambia kuna wanawake toka waingie kwenye ndoa hawajawahi kukojozwa

Na hapa ndipo mwanamme au mwanamke akikutana na mpango wa kando akazama mazima maana kama n mwanamke kis*mi kinapigwa n ub** hatar na yeye atajitahidi kukata mauno yte hata kama umri umeenda.

USHAURI.
ili tuweze kulinda ndoa zetu ni muhimu sana makundi ya kiimani kuingilia kati kutoa elimu ya tendo la ndoa kwa wanandoa waache kutiana kwa mazoea show zipigwe kweli kweli
Pili kama unajua wewe n kijana na haujaoa nakushauri usimuoe mwanamke mnene mfupi kama unajua huwezi kumudu tendo la ndoa kila siku. Wanawake wafupi wanene wanapenda show sio mchezo
 
Ukioa au kuolewa ni muda wa vipaumbele vingine na sio ufuska, yaani mdomo huo huo unaoushusha kwenye kinyeo unataka kubusu na kukemea watoto mchana?!
Unapata kansa ya koo unasingiziwa umerogwa kumbe laana
 
Wa
Nakumbuka miaka ya 2010 nikiwa nimetoka chuo, bado nanuka optimism ya maisha. Nilikuwa na uhakika kwamba mshahara wangu wa kwanza ungekuwa milioni moja, na mawazo mengine ya mchana kama hayo yalinifanya niamini kuwa maisha yangenyoosha tu. Katika kipindi hicho, nilijijengea utamaduni wa kujichanganya na wazee wa kijiweni pale Kinondoni Studio, jijini Dar es Salaam.

Niliingia kijiweni kama kijana mwenye ndoto kubwa na matumaini tele, lakini nilitoka nikiwa nimebeba hekima ya maisha. Nikajifunza kuwa dunia si lelemama, na kuna mambo ambayo ukiyafanya, basi gharama yake ni kubwa zaidi ya unavyoweza kufikiria.

Miongoni mwa mafunzo makubwa niliyopata ni kwamba wanaume wanapaswa kuheshimiana kwa kutohusiana na wake za watu. Lilikuwa somo lililorudiwa mara kwa mara, na kila niliposikia wazee wakilisema, nilihisi uzito wake. "Kuna mambo ukifanya, utaomba bora ungeuawa, kwani fedheha yake ni mbaya zaidi ya kifo," alisema mzee mmoja pale kijiweni.

Na kama kuna hadithi iliyothibitisha hilo, ni ile aliyotueleza kuhusu kilichomkuta dereva mmoja wa teksi miaka ya 90.

Hadithi yenyewe ilikwenda hivi…

Alionywa, Lakini Akadharau

Katika kijiwe cha teksi maeneo ya Kinondoni, kulikuwa na dereva mmoja aliyepata mteja wa kudumu—mke wa mwanajeshi. Mwanamke huyo alipozoea huduma yake, alihakikisha kwamba haendi na dereva mwingine yeyote. Muda si mrefu, uhusiano wa kibiashara ukageuka kuwa uhusiano wa kimapenzi.

Kwa muda, walifurahia penzi lao la siri. Mwanajeshi, bila kujua, alikuwa akitoa pesa za matumizi na mizunguko, lakini kumbe zilikuwa zinaishia malodge na magesti.

Baadhi ya madereva wenzake kijiweni walimwonya:

Lakini kijana alikuwa na kichwa kigumu. Aliona kama wanamwonea wivu kwa sababu amepata "zali" la mentali lenye malipo mazuri na starehe ya bure.

Hakujua kuwa siku za mwizi ni arobaini.

Njama Zafichuka

Kwa bahati mbaya kwake (na nzuri kwa mjeda), kuna jamaa mtaani aliyegundua kinachoendelea. Jamaa huyo, kwa kutumia mbinu za kipelelezi, alikusanya ushahidi wa kutosha na akaenda kumtonya mume wa mtu.

Mwanajeshi hakupoteza muda. Alianza kupanga mpango wa kulipiza kisasi bila kuonyesha dalili zozote kwa mkewe.

Siku moja, kama kawaida yao, mke wa mtu na mchepuko wake walipanga kukutana gesti. Mwanajeshi, kwa ustadi wa kijeshi, alijifanya ana safari ya ghafla na kumwambia mkewe. Mwanamke, kwa furaha, aliiachia nafasi hiyo bila hofu yoyote, akidhani amepata muda wa kuwa na mpenzi wake wa siri bila mashaka.

Alichosahau ni kwamba mjeda alishatengeneza mtego.

Mtego Wanasa

Wakiwa chumbani, wakiendelea na mambo yao, ghafla mlango ulipigwa teke moja zito!

Wakaingia ndani wanaume wa miraba minne, wakiongozwa na mjeda mwenyewe.

Mke wa mtu alipigwa vibao vya uso kwa nguvu hadi akatema meno mawili. Mjeda kisha akawageukia wenzake na kuwaamuru:

Wanaume wawili wenye miili mikubwa walimbeba na kumtoa nje huku akilia na kuomba msamaha.

Lakini kwa mchepuko wake, mambo hayakuwa mepesi.

Dereva huyo alipigwa kwa nguvu huku akitukanwa na kukemewa kwa ukosefu wa heshima. Alijaribu kuomba msamaha, lakini hakusikilizwa. Hatimaye, alipigwa kwa nguvu kichwani na kuzimia pale pale.

Fedheha Iliyoshinda Kifo

Kilichotokea baada ya hapo hakikujulikana mara moja.

Kwa siku kadhaa, dereva huyo hakufika kijiweni. Wenzake walishangaa kimya chake, lakini hakuna aliyekuwa na ujasiri wa kuuliza.

Siku chache baadaye, alirejea. Alionekana kama mtu aliyepoteza roho yake. Macho yake hayakuwa na uhai ule wa zamani.

Kwa siku mbili tatu, alihisi kuna kitu hakipo sawa. Watu walimkwepa, wengine walimtazama kwa huruma, na wachache walikuwa wakimpa pole bila maelezo.

Hatimaye, rafiki yake wa karibu alimvuta pembeni na kumkabidhi bahasha ndogo.

Dereva alipoifungua, mwili wake ulitetemeka.

Ndani yake kulikuwa na picha kadhaa.

Alipozitazama, miguu yake ilikosa nguvu. Alikaa chini ghafla, huku macho yake yakikodoa kwa mshtuko.

Ilikuwa picha yake akiwa uchi wa mnyama, akiingiliwa kinyume cha maumbile na wanaume wa miraba sita.

"Hizi picha zilibandikwa kote mtaani. Zimeonekana kwenye mistimu, kwenye kituo cha mabasi pale, na zingine zimeokotwa. Tumefika hapa kijiweni tukakuta zimebandikwa. Ni nyingi sana, tumezibandua tulivyoweza."

Siku hiyo, dereva aliacha gari yake pale kituoni pamoja na funguo zake. Baadaye, bosi wake alipewa funguo hizo.

Hakuna aliyewahi kumuona tena.

Alitoweka na kuacha historia ya fedheha ambayo watu bado wanazungumzia mpaka leo.

Hitimisho

Mke wa mtu ni sumu. Sumu mbaya kuliko hata sumu ya nyoka.
Wacha uongo wewe mke wa mtu kwani kuna mme wa mbwa?
 
Ukioa au kuolewa ni muda wa vipaumbele vingine na sio ufuska, yaani mdomo huo huo unaoushusha kwenye kinyeo unataka kubusu na kukemea watoto mchana?!
Unapata kansa ya koo unasingiziwa umerogwa kumbe laana
Hiv unadhan kama ingekuwa ni vipaumbele vingine watu wangekuwa wanachepuka? Kaka katika dunia hii hakuna kitu chenye nguvu kama mapenzi. Mwanamke atapata kila kitu na utampa kila kitu kama gari,biashara na huduma zte muhimu lakini akikosa mapenz yuko radhi nusu ya huduma hizo unazompa akampa dereva boda boda anayemkunja kisawasawa.

Na kwasababu ya vipaumbele vyenu hivyo ndio maana wake zetu tunachapiwa daily
 
Mbona kuna waliotulia kwenye ndoa zao mkuu
 
Kwa haya matukio watu wanaopenda wake za watu huenda wanatafuta tiketi ya kujiingiza kwenye mambo ya jinsia moja ili wajifanye walilazimishwa.
 
Back
Top Bottom