Mke wa mtu unaonyesha nguo ya ndani nyeupe ili iweje?

Mke wa mtu unaonyesha nguo ya ndani nyeupe ili iweje?

Kumbe unaishi nyumba za kupanga lakini kutwa kushinda mtandaoni kuishabikia CCM .

Mpaka utakapojenga nyumba yako mwenyewe . Endelea kunyooshwa huko nyumba za kupanga kwanza[emoji3]
Mimi mhangaikaji boss.
 
Na wewe ukawa unakodolea macho hilo chupi jeupe??!!---khaaa[emoji44], bila shaka alikunasa.
Yamkini huyo anahohofia ni kuibiwa mwanaume, mleta mada twambie jinsia yako
 
Siku hizi hawana thamani.Gagulo unaijua wewe ilikuwa inatangulia baada ya ch*pi.Siku hizi hata ch*pi hawavai.
 
Hivi mwanaume ayeoa dunia sasa anakuwa hawaoni au ndio mawazo mgando. hivi watu mmeshaambiwa wanawake wengi hawataki ndoa wanashida na sherehe,halafu kunamtu anakwambia bado wapo wewe oa tu jichanganye oa.mshambiwa hakuna demu wa peke ako halafu kuna anasema nikio nitakuwa napata mbususu mda wowote.wangijua wanawake wanapenda wanaume bachela wasingeoa
 
Back
Top Bottom