Mke wa mtu unaonyesha nguo ya ndani nyeupe ili iweje?

Kuna watu mnabahati kukutana na tatu mzuka.

#YNWA
 
Sikiliza Mtoa Uzi, Mwenye macho haambiwi tazama.

Chukua hatua ulete Mrejesho basi.
 
Mtongoze, wewe unapewa ishara unalalamika badala ya kuchukua hatua.

Mke wa mtu huwa hana mitego. Ukiona mwanamke ana bidii ya kuvaa kimitego ili avutie sana tena hata mumewe anapokuwa hayupo around, basi jua wazi huyo anatafuta attention ya wanaume.
 
Macho yako bado hayajazoea maumbo ya kike?
Ukikua utaacha
 
Jenga mkuu utaepuka hizo kero na changamoto zote.
 
Yupo katika pirika zake za kawaida za kufanya usafi na kupika mume wake akija akute mambo shega.

Wewe ndugu yangu kutwa kujianika kufatisha ushepu wa jirani sasa hivi unapika ama unafua huku ukiangaza macho ujue leo kavaa kyupi rangi ganii.

Hebu limia hata bustani kama huendi jobu.
 
Macho hayana pazia mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…