Mke wa mwalimu analalamika

Mke wa mwalimu analalamika

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
Kweli wanawake inatakiwa tuishi nao kwa akili , na imefikia wakati sasa sijui watusamehe au iwaje au sijui tugeuke mwamposa tuwaponye😅😅

Tumepanda usafiri na mke wa Mwalimu
Wakati stori zimekolea na mwenzie, akaingiza mstari ambao huu nliuskia ila hayo mengine wala sikuwa hata nayaskia.

Eti anacomplain wanawake wengine wakifua nguo za wenza wao wanakuta PESA Katika mifuko ya suruali.

Ila yeye kazoea kukuta karatasi tu za Majina ya Wapiga kelele na Vipande vya Chaki

Ila wanawake🙌😅
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana aise, wanapenda kulinganisha maisha.
 
Ndo mmefunga shule mnaanza kutusumbua
 
Back
Top Bottom