Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

Sawa kaka mauza uza ni mengi hapa mpaka mengine sijayaweka kwenye maelezo mtu anakulazimisha vitendo ambavyo hujawahi Fanya , hakika masikini hawana mbinu
Itakuwa ulipelekwa uvinza wewe...afu na Bibi Sasa!
 

Usisahau kuwa apandacho mtu ndo avunacho. Kwanza toba yake inachukua mda mrefu mpaka ujihisi aman, bora niuze karanga
 
...Gazeti la Ijumaa linatafuta Waandishi wa Riwaya nzuri! Waone...
 
Sio mama yako huyo
 
Sure
 
acha waisome nambaaaaaaaa.............singapore mbele kwa mbeleeee

pole sana...
kula mzigo hakuna namna...
ndo matatizo ya kuishi ugenini..
mechi za ugenini ngumu
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘†πŸ½πŸ«ΆπŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…