Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

Mbona huyo mama na mwanae watakujua ni wewe...umeongea sana kiundani habari yako...hata ndugu zao watajua ni akina nani.

Anza kukimbia ulipo urudi TZ au uhamie kwingine naona unanusa jela karibuni kwa kusetiwa jambo.
Mbona na Ku pm haiji
 
Pole sana, huyo mama alaaniwe kwa kweli, lakini Tanzania si kubaya hivyo jamani, kwanini mnaadhirika ugenini namna hiyo?
huyu jamaa kwa situation alio nayo ni wa kuhurumia na anahitaji msaada
 
Mkuu kiwa makini huyo Bi Mkubwa akutakii mema au mshauri akutafutie chaka la kujificha utekeleze huo ujinga wake lkn umo umo kama si Baba basi huyo mtoto wake..
 
Mm
mmh kidogooo unamkaribia shigongo
 
anataka umle tigo au nini? au umnyonye papuchi
kweli unatumika kijana
Miss natafuta una mambo, kwani we upendi kunyonywa papuchi yako? Hapo Ndipo penye utamu wa kiasili, ukitumia kunyonya kisimi pamoja lips au shavu, mtoto anafika kileleni kwa ulimi tu.

Kijana nakushauri kuwa makini, mtimizie kwa sababu maalum ukishafanikisha malengo yako sepa haraka, ukinogewa utapigwa risasi.
 
Rafiki yangu tunakuwa hatujuhi na pia ningekuwa nimejipanga vya kutosha mbona nisingeenda kwake, sikuwa na hela ya kutosha maana nilipata dolla 1400 nauli na hela ya bed space dolla 800 mwezi mzima
Mbona huu ulikuwa ni mtaji tosha wa kufanya biashara?
 
Kwasababu kazi amepata kwa mgongo wa mama, akiamua kuhama nyumbani anaweza amchongee akose kibarua.
kwa hiyo inabidi akubali kuwa mtumwa wa Ngono?

wasiwasi wangu huu uzi unaweza kuchangia akapata shida tena kubwa tuu
 
Pole sana, huyo mama alaaniwe kwa kweli, lakini Tanzania si kubaya hivyo jamani, kwanini mnaadhirika ugenini namna hiyo?

Kwa mtu mwenye kijisehemu cha kujishikiza kweli Tanzania sio kubaya mana unakula chako hauli cha mtu....ishu ni pale unapokuwa hauna mchongo wowote ukilala unatami kusipambazuke...kukipambazuka hauna pa kwenda.....we hacha tu hiki uwa ni kipindi kigumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…