Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

vipi ulitumia condom
 
Hongera kwa Kazi
Hongera kwa ujasiri
Huyo Jamaa kama namjua vile....Najihisi nitamwambia...Nikishakunywa Windhoek Baridi.
 
Hivi wewe ndo mhitimu wa stashahada ya uhasibu? Hivyo ndivyo ulivyofundishwa kuandika? Yule mama aliposema asilimia ngapi sijui zile sikumbuki vizuri ni vilaza watu wakatokwa povu la kutosha. Kinamna hii!?
 
Pole aisee,mwambie akupe mda wa kutafakari ili ukifanikiwa unasepa kama fisadi
 
Mke wa mtu n sumuuu asee acha iyo mambo !jikubal na upambane na hali yako!umeongia kwenye mtego kirahisi sana !swala la kazi na mke wa mtu n inversly proportional !
 
Uzi Wangu mwingine wameufuta sijui kwanini
 
ahaa kumbe sasa imeelewa maa nlianza kusoma thread yak o nyingine...aisee kula kwa akili sana..wala asijifanye kunogewa huyo na wewe pia...fanikisha af malengo tu....si ndugu zako hao japo nchi moja usije potezwa uko himaya yao...huyo mazeri achelewi kpagawa a kupayuka...
 
Nshafanikisha na Leo nimekamilisha masuala mengine kama mwendelezo wa hatua nlofikia Jana , kesho ndo namalizia kabisaaaa
 
Umepataje kazi bila ya kuwa na work permit na visa?
Nilileta uzi hapa ukafutwa nimepata kazi sijaanza ila ndo work permit inashughulikiwa, hatua zote zimefuatwa, step one unapata kazi , step two vipimo step three residents and work permit
 
Nilileta uzi hapa ukafutwa nimepata kazi sijaanza ila ndo work permit inashughulikiwa, hatua zote zimefuatwa, step one unapata kazi , step two vipimo step three residents and work permit
Umepataje kazi bila ya kuwa na work permit? Wmekukubalia kukupa kazi kabla ya kupata work permit? Kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…