Please refer international vacancies,Umepataje kazi bila ya kuwa na work permit? Wmekukubalia kukupa kazi kabla ya kupata work permit? Kivipi?
I see in Singapore you must have a job offer before you get work permit.Please refer international vacancies,
Unapewa offer letter kusaini then hiyo offer letter inapelekwa MOL kucheki kama inaendana na utaratibu wa kazi kulingana na sheria za nchi pia na makubaliano yenu lakin inapekekwa baada ya kufanya hichi nilichoeleza chini,
2. Pili shughuli inayofuata ni kupelekwa medical examination,
Kumbuka imekuwa stated kwenye sheria za nchi kuwa ukikutwa na magonjwa hatarishi wanasitisha process za kushughulikia work permit, instead unakuwa deported kurudi uko Tz,
Kama uko safi majibu yanapelekwa ministry of labor ili upewe working permit , ambayo itakusaidia resident permit pia,
Huwezi kufanya kazi bila visa , ila unapata kazi kabal ya kuwa na working visa, ambayo unapopata kazi wanasitisha ile entry permit uloingilia kama tourist ndo unapata working visa au permit
Hahaha hapa jf kuna vituko sanaKwa huu ukimya, tayari anakula mzigo....... pole mkuu kwa kunyanyaswa kijinsia, umaskini mbaya sana......
Acha uvivu wa kufikiri, Rudi Tanzania kuna kazi nyingi sana utaadhirika. Huyo mama atakutoa msukuleUmejuaje mh
hivi mkinyonywa huko chini mnapata raja kuliko ya dushee?anataka umle tigo au nini? au umnyonye papuchi
kweli unatumika kijana
Mchecheto eee
Duh mi nilidhan nawe ushawahi nyonywa
Hahaha aiseeUngekua bongo ningekwambia usimgegede maana vilainishi ni marufuku ila uko ulipo we tafuna tu bi Mkubwa siku ukifumwa vitakusaidia kupunguza friction
Badala mkamchangie mmtumie hela mna mpanikisha, hii stroy apewe ray kigosi hahaOngea na maza upange kiji-room au apartment kutumia hiyo $1000 ili uondoke hapo nyumbani mwanae mdanganye unaenda mji mwingine kuna kazi unafuatilia. Hayo mambo uwe unafanya nae nje na nyumbani kwake. Ukiwa stable unampotezea kidogo kidogo. Usiendelee kufanya nae hapo kwake siku ya siku faza house atarudi usiku atakufanya kitu mbaya.