1. Kama alificha makucha wakati wa unyumba bila ndoa, hapo nakubaliana na wewe, true color is now on display.
2. Mwananke by hulka hamudharau mwanaume bila kuwa amepata mwingine better of.
3. Lakini ujue, am not making assumptions without knowhow, or without having been involved in researches of the kind, social and human behavior.
Kutegemea hela ya mkeo per se katika maisha sio sahihi. Lakkini kuchangia ktk maendeleo ya familia ni lazima wala haina mjadala, kama una dada unawaambia eti kila kitu pale nyumbani ni mwanaume umechemsha sana, na dada zako hao watakuwa manungayembe tuuu with time.
4. Nikupe tena hii iwapo mkeo ataanza mchezo wa kuwa hela yake anatumia anavyotaka, ujue uko na shareware, lazima kuna buffer money hujui inatoka wapi na anatumia kwa kisingizio ni zile zake. Kama hana huo mchezo wa buffer money wala haoni shida kuweka kweupe mapato na matumizi yake ili awe evaluated kama anamatumizi mazuri au mabaya this time tomorrow when she needs additional funding.
5. Kumshauri mwanamke kuwa hela yake ni yake na anatumia anavyotaka ili hali yuko kwenye ndoa ni kumfanya mwanamke ni mjinga. Hata mwanaume hutumii hela unavyotaka ukiwa kwenye ndoa.