Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Kisheria pesa ya mwanamke ni yake
 
Kauli ya 'matoto' yako imenichekesha sana mkuu!
Kasema nimesomeshwa na wazazi kwa faida yao. Basi na yeye ni mzazi wa 'hayo matoto' naye ashiriki kusomesha kwa faida yenu ya baadae.

Otherwise tafuta house boy / girl akusaidie kukuandalia nguo/viatu vya kazini. Pia panga matumizi kulingana na hela yako. Kama haitoshi buni mbinu nyingine za kutafuta hela.
 
Reactions: Cyb
Mnatuweka dilemma sisi tunaofikiria kuoa, kumbe ndo kulivyo huko!!!! [emoji15]
 
Huyo yuko njia panda kabisaaaa anawaza kukuacha akifikilia ndoa yake roho inamrudi lait msinge kuwa mmefunga ndoa nw ungekuwa unalea watoto peke ako
 

Hata sijaelewa hizo points zinahusiana vipi na kumuhusisha mwanamke kuwa na mwanaume mwingine!

Yapo mengi tu zaidi ya side man yanayoweza kubadili mawazo ya mwanamke

Na ndiyo maana asubuhi akawa analia kwa kujutia

Means she was driven by unknown emotions (yeye mwanamke ndiyo anajua)
 

Ndo waume zetu hawa
 
Good idea Ila yote yanawezekana kwani nyie mkianza kuchepuka mnafanyaje
 
1. Labda hana uwezo wa kuhandle stress.
2. Labda kuna marafiki wenye tabia hzo au wanamhadithia simulizi kama hizo.
3. Labda kuna influence ya tabia hiyo kutoka kwa upande wa wazazi wake hasa mama yake.
4. Labda umamwachia majukumu makubwa ya kifedha ambayo yamefikia kiasi cha kumkera.
5. Labda basi amepata mtu wa nje anampa mapenzi au vitu vingine vya kibayolojia au vya kiuchumi kuliko wewe ( Hii ni dhaifu kwa sababu asingegoma kutoa ada, angekidharau tu basi).
 
Unamchepuko wa kudumu??
Swali la nyongeza Umezaa naye? Tuanzie hapo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti umemuweka kifungoni kwa mda mreefu sana kifupi mkuu rudi kwa aliewafungisha ndoa ila sio humu jf
 
Shauri kama hizi ndo zinafanya kuwe na wanawake jeuri kama uyo wa mtoa mada....
 
Mkuu mleta mada, katika ndoa lazima kuwa na balance. Kama wewe uko juu mke awe chini and vice verca. Hii kitu inathiri ndoa nyingi za kizazi hiki.
 
Shauri kama hizi ndo zinafanya kuwe na wanawake jeuri kama uyo wa mtoa mada....
Hahahahahaha mke kusema pesa zake zinamuhusu yeye sio ujeuri haki yake......hayo mengine mi sijui
 
Hizo zipo mzee baba anahasira za sikukuu tu si unajua wanawake.

Hapo unabaki kimya akianza unakaa kimya analalamika weee hadi hasira zinakwisha. January mwishoni atarudi vizuri.

January wewe panga mipango kama ilivyozoeleka siku zote.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
The truth is uyo mwanamke kuna uwezekano mkubwa ana kijamaa nje, na chenyewe kina weaknesses na strength zake. Kuna muda anakuwa anajuamini kwa kuwa anaona ana back up lkn akiwaza kwa undani anaona back up yenyewe magumashi ndio mana anaomba msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…