Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hapa yuko sahihi kabisa. Mm mume wangu huwa akichukua hata mia yangu ujue huo ni mkopo, atarudisha tu.pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
Hapa jiandaye, soon atakuwekea sumu kwenye msosi. Kilicho moyoni mwake ni wewe kurest in peace.ungejua kilichopo moyoni mwangu(
Hizi issue za 50/50 zinavunja sana ndoa. zilivyoanza kuingia Afrika rate ya kuachana imekuwa kubwaIko hivi mwaka 2008 tulibahatika kupata mtoto bila ndoa 2014 tukapata mwingine bila ndoa ila mwaka 2016 tukabariki ndoa na sasa tunaishi kwenye ndoa ya watoto watatu sasa hivi huyu mke amekuwa na maneno makali ya kuchoma moyo na mwili
mfano
1.nilimwambia jana mbona nguo chafu na hapo jikoni hapako vizuri na nasema hivyo coz kulikuwa ma wageni watakuja kututembelea akaniambia mwanaume wewe una gubu
2.ananiambia nimemweka kifungoni nimemfanya mjinga sana kwa mda mrefu ila sasa ninajitambua
ananiambia hivyo baada ya kumwambia tuweke mahesabu sawa kati ya fedha take na yangu kwa ajili ya maandalizi ya watoto shule january alikuwa mkali kama pilipili na hajawahi kuniambia maneno aliyoniambia
mfano;
Miaka yote pesa yangu sina uhuru nayo nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
hapa nikamjibu haitatokea kumwomba kama amechoka watoto anipe wanangu
3.Ongeza hawezi mapenzi ya kubembelezana bembelezana sijui nikupetipeti sijui nikulambe wapi ukiyataka hayo katafute wenye nayo kwangu hutoyapata na ukitaka kaoe kabisa ila ujue watoto wao na akaongeza siogopi kuachwa hata kidogo na ungejua kilichopo moyoni mwangu(kwake mke) ungenyamaza tu
Huwa nina kawaida ya kumsaidia kazi za ndani kama kuchota maji,kufua,kupika, sasa jana kaniambia wala sitaki unisaidie vikazi unavyonisaidia.
then wenzangu mlioko kwa ndoa na mna watoto siyo chini ya watatu nguo zenu zinanyooshwa na wake zenu au nyie wenyewe,viatu au makobazi yanafuta na kupakwa ranging na mke au nyie wenyewe.
je maji ya kuoga mnapeleka wenyewe au mnapelekewa mimi nafanya vyote hivyo mwenyewe .
Anasema hayo yote then asubuhi analia tu na kusema yaishe nashindwa hata kuelewa anataka nini anafikiri nini na matarajio yake nini
...huyo mwanamke hana shida kabisa,,_nadhani anahisi haupendi na humjali ndio maana ni kama ka_panicNiko nasubiri maoni yenu nitayafanyia kazi
True...ni suala la muda tu kwa sasa atakuwa kamvurugaHiiyo ndo huwa inaitwaga "midlife crisis " , Baada ya muda atarudi sawa
Haya sasa,...akiwa rojorojo atachukulia serious huu ushari wako...badKuna Mwanaume Anampa Jeuri.
UkweliNdio ilivyo
Hela ya mwanamke siyo ya kutegemea, we somesha watoto wako kutimiza wajibu na wakikua usitegemee msaada kutoka kwao watamjali zaidi mama yao
...ahahahaaaa ,...akili za hovyo sana hiziNdio maana hua sifikilii ndoa.ningekua mimi hapo ningempiga yeye jumlisha na shangazi zake
Kweli kabisaa na huwezi amini hayo maneno ya sasa nimekuwa mjinga sana huko nyuma Ila sasa nimejitambua anayazungumza baada ya mwezi mmoja kumpeleka kwenye mafunzo flani hivi ya mwaka mmoja na robot tatu ya ada nimelipa Mimi kwa kukope hawa jamaa wakulipa kila mwisho Wa wiki na yeye anajua hilo na anadai hata wenzie wanamwambia pesa zao ni zao na za mume ni za mumeKama ni kwel nakupa pole, pesa yako ni ya kuhudumia familia na yake ni yake usiiweke kwy mahesabu, mzoee tu mkeo ni mbinafsi sana hadi kwa watoto wake
Mkuu poleIko hivi mwaka 2008 tulibahatika kupata mtoto bila ndoa 2014 tukapata mwingine bila ndoa ila mwaka 2016 tukabariki ndoa na sasa tunaishi kwenye ndoa ya watoto watatu sasa hivi huyu mke amekuwa na maneno makali ya kuchoma moyo na mwili
mfano
1.nilimwambia jana mbona nguo chafu na hapo jikoni hapako vizuri na nasema hivyo coz kulikuwa ma wageni watakuja kututembelea akaniambia mwanaume wewe una gubu
2.ananiambia nimemweka kifungoni nimemfanya mjinga sana kwa mda mrefu ila sasa ninajitambua
ananiambia hivyo baada ya kumwambia tuweke mahesabu sawa kati ya fedha take na yangu kwa ajili ya maandalizi ya watoto shule january alikuwa mkali kama pilipili na hajawahi kuniambia maneno aliyoniambia
mfano;
Miaka yote pesa yangu sina uhuru nayo nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
hapa nikamjibu haitatokea kumwomba kama amechoka watoto anipe wanangu
3.Ongeza hawezi mapenzi ya kubembelezana bembelezana sijui nikupetipeti sijui nikulambe wapi ukiyataka hayo katafute wenye nayo kwangu hutoyapata na ukitaka kaoe kabisa ila ujue watoto wao na akaongeza siogopi kuachwa hata kidogo na ungejua kilichopo moyoni mwangu(kwake mke) ungenyamaza tu
Huwa nina kawaida ya kumsaidia kazi za ndani kama kuchota maji,kufua,kupika, sasa jana kaniambia wala sitaki unisaidie vikazi unavyonisaidia.
then wenzangu mlioko kwa ndoa na mna watoto siyo chini ya watatu nguo zenu zinanyooshwa na wake zenu au nyie wenyewe,viatu au makobazi yanafuta na kupakwa ranging na mke au nyie wenyewe.
je maji ya kuoga mnapeleka wenyewe au mnapelekewa mimi nafanya vyote hivyo mwenyewe .
Anasema hayo yote then asubuhi analia tu na kusema yaishe nashindwa hata kuelewa anataka nini anafikiri nini na matarajio yake nini
Ife Mara ngapiYeah, Ila Asikae Kimya Afanye Uchunguzi Maana Akifanyia Masihara Ndoa Yaweza Kufa.