Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Waajemi hua wana msemo wao kua "Ukisikia harufu mbaya anza kujikagua mwenyewe kama haitoki kwako"
Jiangalie mwenyewe mwmendo wako wa siku za karibuni kama hakuana jambo au kosa lolote ambalo umemfanyia
Hizo tabia na na maneno ndio kazianza sasa hivi au kulika na viashiria hata kabda hamjaona?
Kama wewe unajiona huna tatizo na tabia hizo kazianza baada ya kumuoa chunguza ukaribu wake na outsiders kwa maana ya marafiki, kama anao ni wa namna gani na ikiwa labda wanaweza kua chanzo cha ushauri mbovu
Hujasema pia kama yeye anafanya kazi, kajiajiri mwenyewe au ni mama wa nyumbani tu?