Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Waajemi hua wana msemo wao kua "Ukisikia harufu mbaya anza kujikagua mwenyewe kama haitoki kwako"

Jiangalie mwenyewe mwmendo wako wa siku za karibuni kama hakuana jambo au kosa lolote ambalo umemfanyia

Hizo tabia na na maneno ndio kazianza sasa hivi au kulika na viashiria hata kabda hamjaona?

Kama wewe unajiona huna tatizo na tabia hizo kazianza baada ya kumuoa chunguza ukaribu wake na outsiders kwa maana ya marafiki, kama anao ni wa namna gani na ikiwa labda wanaweza kua chanzo cha ushauri mbovu

Hujasema pia kama yeye anafanya kazi, kajiajiri mwenyewe au ni mama wa nyumbani tu?
 
Kwenye Maisha ya ndoa vineno neno kama hivyo ni vya kawaida sana na huwa vinavumilika. Kasheshe kubwa huwa ni mke akianza kuchepuka ndio ndoa inapokwenda mrama. Kauli mbiu ya uvumilivu kwa wanandoa huchukua nafasi hasa kwa wale wenyewatoto.
 
Iko hivi mwaka 2008 tulibahatika kupata mtoto bila ndoa 2014 tukapata mwingine bila ndoa ila mwaka 2016 tukabariki ndoa na sasa tunaishi kwenye ndoa ya watoto watatu sasa hivi huyu mke amekuwa na maneno makali ya kuchoma moyo na mwili
mfano

1.nilimwambia jana mbona nguo chafu na hapo jikoni hapako vizuri na nasema hivyo coz kulikuwa ma wageni watakuja kututembelea akaniambia mwanaume wewe una gubu

2.ananiambia nimemweka kifungoni nimemfanya mjinga sana kwa mda mrefu ila sasa ninajitambua
ananiambia hivyo baada ya kumwambia tuweke mahesabu sawa kati ya fedha take na yangu kwa ajili ya maandalizi ya watoto shule january alikuwa mkali kama pilipili na hajawahi kuniambia maneno aliyoniambia
mfano;

Miaka yote pesa yangu sina uhuru nayo nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
hapa nikamjibu haitatokea kumwomba kama amechoka watoto anipe wanangu

3.Ongeza hawezi mapenzi ya kubembelezana bembelezana sijui nikupetipeti sijui nikulambe wapi ukiyataka hayo katafute wenye nayo kwangu hutoyapata na ukitaka kaoe kabisa ila ujue watoto wao na akaongeza siogopi kuachwa hata kidogo na ungejua kilichopo moyoni mwangu(kwake mke) ungenyamaza tu

Huwa nina kawaida ya kumsaidia kazi za ndani kama kuchota maji,kufua,kupika, sasa jana kaniambia wala sitaki unisaidie vikazi unavyonisaidia.

then wenzangu mlioko kwa ndoa na mna watoto siyo chini ya watatu nguo zenu zinanyooshwa na wake zenu au nyie wenyewe,viatu au makobazi yanafuta na kupakwa ranging na mke au nyie wenyewe.
je maji ya kuoga mnapeleka wenyewe au mnapelekewa mimi nafanya vyote hivyo mwenyewe
.

Anasema hayo yote then asubuhi analia tu na kusema yaishe nashindwa hata kuelewa anataka nini anafikiri nini na matarajio yake nini
Hizi issue za 50/50 zinavunja sana ndoa. zilivyoanza kuingia Afrika rate ya kuachana imekuwa kubwa
 
Bro

Ushauri matata ni huu hapa.

Kwanza kama mbunye anakupa, we piga ikiwezekana daily ila usimpe mimba nyingine. Usiisusie na hata kama hutaki jilazimishe na uonyeshe unaitaka from now and then.

Pili usifikirie kumuacha maana kwa kauli yake nimethibitisha watoto ni wa kwako hujachakachuliwa. Mkiachana watakabaki dilemma ni watoto wala wewe au yeye hakuna atakayeathiriwa na utengano huo. Imagine watoto wanaamka na mama ambaye si mama yao mzazi and viceversa wakati mama yao yupo.

Kingine kama mbunye unapata shughuli zingine jifanyie watoto wakifikisha miaka kuanzia 13 kwenda juu upendo utarejea na mtainjoy

Ni hayo tu from my experience maana yalinikuta wakati sina kazi sembuse we una kazi,ni ya muda tu.
 
Niko nasubiri maoni yenu nitayafanyia kazi
...huyo mwanamke hana shida kabisa,,_nadhani anahisi haupendi na humjali ndio maana ni kama ka_panic
...jaribu kukaa naye karibu na kumsikiliza hisia zake utaona atakavyo change positively.. hayo ni ya kawaida mno wala usijechukua comment za watu waliovurugwa akili humu na kuisurubu familia yako for years
 
Sijui nisemaje lakini kukunyima mshahara wake ni haki yake ....pesa za mwanamke ni za kwake yeye mwenyew ..kama ataamua kukusaidia majukumu sawa vinginevyo hutakiwi kuzipangia matumizi zile ni zake....kakwambia kweli kasomeshwa na wazazi wake ili awafae baadae hakusomeshwa sababu nyingine ....kingineee kupeleka maji bafuni sio kazi yake labda aamue kukupelekea kwa mapenzi yake tu .....kufua pia labda aamue kukufulia kwa mapenzi tu vinginevyo tafuta dobi ...samahani kama utakwazika lakini habari ndiyo hiyo

Somesha wanao usimtegemee yeye wewe ndie kichwa na kiongozi wa familia
 
Kama ni kwel nakupa pole, pesa yako ni ya kuhudumia familia na yake ni yake usiiweke kwy mahesabu, mzoee tu mkeo ni mbinafsi sana hadi kwa watoto wake
Kweli kabisaa na huwezi amini hayo maneno ya sasa nimekuwa mjinga sana huko nyuma Ila sasa nimejitambua anayazungumza baada ya mwezi mmoja kumpeleka kwenye mafunzo flani hivi ya mwaka mmoja na robot tatu ya ada nimelipa Mimi kwa kukope hawa jamaa wakulipa kila mwisho Wa wiki na yeye anajua hilo na anadai hata wenzie wanamwambia pesa zao ni zao na za mume ni za mume
 
Iko hivi mwaka 2008 tulibahatika kupata mtoto bila ndoa 2014 tukapata mwingine bila ndoa ila mwaka 2016 tukabariki ndoa na sasa tunaishi kwenye ndoa ya watoto watatu sasa hivi huyu mke amekuwa na maneno makali ya kuchoma moyo na mwili
mfano

1.nilimwambia jana mbona nguo chafu na hapo jikoni hapako vizuri na nasema hivyo coz kulikuwa ma wageni watakuja kututembelea akaniambia mwanaume wewe una gubu

2.ananiambia nimemweka kifungoni nimemfanya mjinga sana kwa mda mrefu ila sasa ninajitambua
ananiambia hivyo baada ya kumwambia tuweke mahesabu sawa kati ya fedha take na yangu kwa ajili ya maandalizi ya watoto shule january alikuwa mkali kama pilipili na hajawahi kuniambia maneno aliyoniambia
mfano;

Miaka yote pesa yangu sina uhuru nayo nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
hapa nikamjibu haitatokea kumwomba kama amechoka watoto anipe wanangu

3.Ongeza hawezi mapenzi ya kubembelezana bembelezana sijui nikupetipeti sijui nikulambe wapi ukiyataka hayo katafute wenye nayo kwangu hutoyapata na ukitaka kaoe kabisa ila ujue watoto wao na akaongeza siogopi kuachwa hata kidogo na ungejua kilichopo moyoni mwangu(kwake mke) ungenyamaza tu

Huwa nina kawaida ya kumsaidia kazi za ndani kama kuchota maji,kufua,kupika, sasa jana kaniambia wala sitaki unisaidie vikazi unavyonisaidia.

then wenzangu mlioko kwa ndoa na mna watoto siyo chini ya watatu nguo zenu zinanyooshwa na wake zenu au nyie wenyewe,viatu au makobazi yanafuta na kupakwa ranging na mke au nyie wenyewe.
je maji ya kuoga mnapeleka wenyewe au mnapelekewa mimi nafanya vyote hivyo mwenyewe .

Anasema hayo yote then asubuhi analia tu na kusema yaishe nashindwa hata kuelewa anataka nini anafikiri nini na matarajio yake nini
Mkuu pole

Kuna bonge la wimbi la kudanganyana kea akina mama, hasa through magrupu ya WhatsApp na Facebook, na Instagram

She is lost and you won't believe it, hayo makundi Yana nguvu Sana, and they are very well planned na watu waliodhamiria kabisa kuweaken our culture and mostly insititution ya ndoa

Mara nyingi wakishafika stage hiyo huwa hawarudi Tena Hadi watoke na waumizwe Sana

Vinara wao Ni magumegume na Malaya wanaouza wenzao

Just prepare psychologically kuwa single

These people are heavily influenced snd funded... Sadly, thry target wanaume wastaarabu
 
Back
Top Bottom