Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?


Kila kitu nyumbani ni kazi yako kutoa pesa....Mwanamke hua hela yake haiguswi....

Ada,magari,nyumba,chakula,etc ni kazi yako wewe....Hela itoke kwako na si kwake!

Understand that!
 
KAA NAE CHINI MUULIZE MASWALI YAFUATAYO:-

1. MWAMBIE AWE HURU TU...AKWAMBIE UKWELI ULIPO MOYONI MWAKE(hata kama kusema kwa mdomo hawezi, mwambie aandike)...NI NINI HASA ANATAKA KWA SASA..?

2. YEYE KWA UPANDE WAKE ANAICHUKULIAJE NDOA..?

3. NA KAMA KUMUACHA...JE YUPO TAYARI UMUACHE...? NA KAMA ANAVYOSEMA NA ASIKUSUMBUE KUHUSU WATOTO NA HATA UKIOA MKE MWINGINE...?

4. KAMA MAPENZI YAMEPUNGUA JE ANGEPENDA MAPENZI YAKE YAFUFUKE...KAMA KUNA UWEZEKANO MTOKE MAHALI MKARENEW MAPENZI YENU...?

NOTE:
MPE UHURU WA KUJIELEZA NA UHAKIKA WA KUELEZA HISIA ZAKE...NA UMHAKIKISHIE KUWA HUTOONGEZA MASWALI MENGINE YA KUMKERA...UNAWEZA DHANIA ANA MTU MWINGINE NJE...LAKINI HAPANA KUNA KITU TU KIPO NDANI YAKE KINAMSUKUMA OVYO...SO HESHIMU MAWAZO YAKE...NA KAMA KUNA MAHALI PA KUMSAIDIA MSAIDIE KUTATUA TATIZO LAKE...

AU

HUENDA HUKO MAKAZINI MIONGONI MWA SHOSTI ZAKE KAZINI AU ANAPOENDA KUPIGA STORY NI MA'SINGLE MOTHER NA NDIO WANAOMPA KIBURI...

JINGINE..

OMBI LANGU KWAKO...ENDAPO MKAFANIKIWA KUPATA SULUHU NZURI...MWAMBIE KWA FAIDA YA MAPENZI NA NDOA YENU...MWAMBIE AACHE KAZI YOYOTE ILE ANAYOIFANYA..ATULIE KWANZA NYUMBANI AJITAFUTIE...HATAKI MWAMBIE CHAGUA...KAZI AU NDOA YAKO...!

HIYO NI KWA FAIDA YA NDOA YAKO...NA UTAGUNDUA MENGI TU(yale aliyosema ungejua yaliyopo moyoni mwangu)...
 

Mapenzi achana nayo...Hua yanaisha mapema tu...Usiwe deprived na love from a woman or anybody on this earth!

You came alone and you will go alone...Hakuna kitu kinaitwa soulmates or some shit like that!

Kama ni pussy,world is full of pussies,hey just partake in it responsibly!

Acha kulia lia na kulilia mapenzi,thats stupidity!
 
Kumsadia mwanamke kupika,kufua,kusafisha jiko hayo ndiyo makosa yako,hawa viumbe lazina uwe na roho ya jiwe sometimes, kudeal na baadhi ya wanawake ukimpetpet sana matokeo yake ndiyo hayo anakuona fala fulani tu,ilitakiwa ukila unaacha vyombo mezani,hata ukimwaga juice kwenye kapeti iache,ukitoka akiuliza unarudi saa ngapi mwambie saa mbili afu rudi saa nane za usiku,yaani maisha mwanaume lazima iwe 80% mwanamke 20% ukileta mambo ya 50/50 beijing utaumia sana.
 
Asa
ASANTE kwa mawazo yako ila nini maana ya ndoa nini maana ya kuwa mwili mmoja nini maana ya kuwaacha wazazi wetu na kuungana na kuanza family yetu kwanini yeye asikae kwake na Mimi kwangu then tukutane mda Wa kutafuta watoto tu plz naomba unisaidie majibu kama hutojali
 
Kasome sheria za ndoa kwenye vitabu vya Dini yako majibu yote yatatokea huko
 
Hapa yuko sahihi kabisa. Mm mume wangu huwa akichukua hata mia yangu ujue huo ni mkopo, atarudisha tu.

Hapa jiandaye, soon atakuwekea sumu kwenye msosi. Kilicho moyoni mwake ni wewe kurest in peace.
Acheni roho mbaya ya nini ?!. Mnawafanya wanaume kuwa kama Tanganyika na Zanzibar . Ya Zanzibar ni ya Zanzibar lakini ya Tanganyika ni ya muungano [emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
That is true but I'm not cry for love Ila naangalia mustakabathi Wa watoto hawa ambao hawana hatia na mda wote wanatufurahia bila kujua yanayoendelea kati yetu na Mimi najitahidi kutowaonyesha chochote kinachoendelea
 
married life at critical angle, usimbembeleze mwambie sawa, kama yeye anatamani kutoka kwenye hiyo ndoa mwambie afanye haraka huko nje kuna mwenzako anatamani kuingia.
 
KUNA MANENO YA MWANAMKE AKISEMA "wewe mwanaume una gubu wewe.." Uschukulie poa...
 
Ana nyegezi huyo ndo mana anakuwa viasira na kujizira zira!!!kamata sukumia ndani chapa bakora ya kisawa sawa hadi maji aite mayi uone km hatabadilika na kuwa na adabu.we leta mapenz y kihindi tuu
Agreed !!! Mzee baba ....!!! Mkunje mkeo huyo.... Haswaa suguaaa ...walau Mara moja kwa week ile mwana ukome !!! Uone kama atarejea tena!
 
That is true but I'm not cry for love Ila naangalia mustakabathi Wa watoto hawa ambao hawana hatia na mda wote wanatufurahia bila kujua yanayoendelea kati yetu na Mimi najitahidi kutowaonyesha chochote kinachoendelea

Ni kweli

Ila mkuu usikae kinyonge namna hiyo..Inaonesha mkeo kama ana power fulani kubwa sana....

Usiwe mnyonge!

Kwani mkeo malaya?Alishawahi kuchepuka?

Kama dhambi ya kutiwa nje haipo basi huyo sio wa kuacha,ni wa kumuweka mstari tu!

Usiingilie jiko,hela zote zitoke kwako zake zisiguswe,K zipo kibao mzee wewe mtoto wa kiume huwezi lilia k ya wife mpaka unakonda,halafu mengine ni amsha amsha ya mikwara basi...

Anakaa mstarini!
 
Ana buzi huyo ndo maana kasema "laiti ungejua niyawazayo, ungekaa kimya"
Mi nadhani anawaza kijilipua,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31]

Pole ndg, ndoa ndo zilivyo hiki ni kpindi cha mpito tu....atarud kwenye hali yake akiuchoka upuuzi aufanyao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…