King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kampata m/me mwingine anayepiga show za kibabe kwa vumbi la kongo na kusimamia kucha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani kuna mchanyiko wa issues zilizosababisha mabadiko hayo ya mke wako lakini nionavyo mimi jeuri yake imekuwa na nguvu aliku'size akabaini ulivyo mdhaifu,wengine tupo kwenye ndoa za muda mrefu lakini pamoja na kwamba mikwaruzano ya hapa na pale sometimes huwa inatokea lakini huwa mkeo anatakiwa kujua red line yako ambayo kama ataivuka basi atajuta. Hizo nonsense anazokufanyia kwa sehemu kubwa umezilea mwenyewe, how on earth mwanamke anaweza kukuongelea mautumbo kama hayo ukaishia kuja kulia JF? Give her a lesson that she'll never forget au apaki vikorokoro vyake aende atakako(by force). Kama ana mchepuko which is very likely kutokana na mtiririko wa maelezo yako atakimbilia huko, ni bora akaenda so that you remain in peace.Iko hivi mwaka 2008 tulibahatika kupata mtoto bila ndoa 2014 tukapata mwingine bila ndoa ila mwaka 2016 tukabariki ndoa na sasa tunaishi kwenye ndoa ya watoto watatu sasa hivi huyu mke amekuwa na maneno makali ya kuchoma moyo na mwili
mfano
1.nilimwambia jana mbona nguo chafu na hapo jikoni hapako vizuri na nasema hivyo coz kulikuwa ma wageni watakuja kututembelea akaniambia mwanaume wewe una gubu
2.ananiambia nimemweka kifungoni nimemfanya mjinga sana kwa mda mrefu ila sasa ninajitambua
ananiambia hivyo baada ya kumwambia tuweke mahesabu sawa kati ya fedha take na yangu kwa ajili ya maandalizi ya watoto shule january alikuwa mkali kama pilipili na hajawahi kuniambia maneno aliyoniambia
mfano;
Miaka yote pesa yangu sina uhuru nayo nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
hapa nikamjibu haitatokea kumwomba kama amechoka watoto anipe wanangu
3.Ongeza hawezi mapenzi ya kubembelezana bembelezana sijui nikupetipeti sijui nikulambe wapi ukiyataka hayo katafute wenye nayo kwangu hutoyapata na ukitaka kaoe kabisa ila ujue watoto wao na akaongeza siogopi kuachwa hata kidogo na ungejua kilichopo moyoni mwangu(kwake mke) ungenyamaza tu
Huwa nina kawaida ya kumsaidia kazi za ndani kama kuchota maji,kufua,kupika, sasa jana kaniambia wala sitaki unisaidie vikazi unavyonisaidia.
then wenzangu mlioko kwa ndoa na mna watoto siyo chini ya watatu nguo zenu zinanyooshwa na wake zenu au nyie wenyewe,viatu au makobazi yanafuta na kupakwa ranging na mke au nyie wenyewe.
je maji ya kuoga mnapeleka wenyewe au mnapelekewa mimi nafanya vyote hivyo mwenyewe .
Anasema hayo yote then asubuhi analia tu na kusema yaishe nashindwa hata kuelewa anataka nini anafikiri nini na matarajio yake nini
Ulio ongea hapo ni usen.ge mtupu.. Unajua maana ya familia..Sijui nisemaje lakini kukunyima mshahara wake ni haki yake ....pesa za mwanamke ni za kwake yeye mwenyew ..kama ataamua kukusaidia majukumu sawa vinginevyo hutakiwi kuzipangia matumizi zile ni zake....kakwambia kweli kasomeshwa na wazazi wake ili awafae baadae hakusomeshwa sababu nyingine ....kingineee kupeleka maji bafuni sio kazi yake labda aamue kukupelekea kwa mapenzi yake tu .....kufua pia labda aamue kukufulia kwa mapenzi tu vinginevyo tafuta dobi ...samahani kama utakwazika lakini habari ndiyo hiyo
Somesha wanao usimtegemee yeye wewe ndie kichwa na kiongozi wa familia
Tafuta hela mzee baba..kulea ni kazi ya mwanaume na kama huna uwezo huo usioe ..ila nyie hampo fair unataka mchangie kutunza familia na hapo hapo upikiwe..upelekewe maji bafuni..huo si uonevuKwanini tusisaidiane hapa ili na wengine wajifunze kupitia mawazo yako sorry
Hili jambo si la kudharau!! Umeongea point ya maana sana mkuuAna nyegezi huyo ndo mana anakuwa viasira na kujizira zira!!!kamata sukumia ndani chapa bakora ya kisawa sawa hadi maji aite mayi uone km hatabadilika na kuwa na adabu.we leta mapenz y kihindi tuu
Kwa hayo maneno yako nini maana ya kuwa na mke? au nini maana ya kuwa na familia? Au Nini maana ya kuwa mwili mmoja (mke na mume)Ndio ilivyo
Hela ya mwanamke siyo ya kutegemea, we somesha watoto wako kutimiza wajibu na wakikua usitegemee msaada kutoka kwao watamjali zaidi mama yao
Bro, wewe na yeye mnapishana umri gani!?Anafanya kazi na huwa anakuwaga na vitimbi vitimbi sana Mara bora nice oooh bora nisingezaliwa Mara anipige mategee na mangumi namwangalia tu Mara Sikh engine aniambie toka kwenye nyumba yangu wakati nyumba yenyewe nimepanga Mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] analala chini kupandwaYawezekana ana mimba changa. Hawa jamaa wakiwa na mimba changa hawatabiriki ni kama kuku wa kisasa. unapita zako kwenda kuokota mayai yeye analala chini kuwa weye kakuona jogoo anataka umpande.
Mpe muda mkuu, tena ni mkeo mpendwa wako. Huna mwingine hivyo mbembeleze tu hata kuzama chumvini ili umridhishe
Kumsadia mwanamke kupika,kufua,kusafisha jiko hayo ndiyo makosa yako,hawa viumbe lazina uwe na roho ya jiwe sometimes, kudeal na baadhi ya wanawake ukimpetpet sana matokeo yake ndiyo hayo anakuona fala fulani tu,ilitakiwa ukila unaacha vyombo mezani,hata ukimwaga juice kwenye kapeti iache,ukitoka akiuliza unarudi saa ngapi mwambie saa mbili afu rudi saa nane za usiku,yaani maisha mwanaume lazima iwe 80% mwanamke 20% ukileta mambo ya 50/50 beijing utaumia sana.
Pale Sana, hujapata mke mwema! Jitahid kuongea nae asipobadilika piga chini maisha yenyewe mafupi yanini kukaa na mtu asieelewekaIko hivi mwaka 2008 tulibahatika kupata mtoto bila ndoa 2014 tukapata mwingine bila ndoa ila mwaka 2016 tukabariki ndoa na sasa tunaishi kwenye ndoa ya watoto watatu sasa hivi huyu mke amekuwa na maneno makali ya kuchoma moyo na mwili
mfano
1.nilimwambia jana mbona nguo chafu na hapo jikoni hapako vizuri na nasema hivyo coz kulikuwa ma wageni watakuja kututembelea akaniambia mwanaume wewe una gubu
2.ananiambia nimemweka kifungoni nimemfanya mjinga sana kwa mda mrefu ila sasa ninajitambua
ananiambia hivyo baada ya kumwambia tuweke mahesabu sawa kati ya fedha take na yangu kwa ajili ya maandalizi ya watoto shule january alikuwa mkali kama pilipili na hajawahi kuniambia maneno aliyoniambia
mfano;
Miaka yote pesa yangu sina uhuru nayo nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
hapa nikamjibu haitatokea kumwomba kama amechoka watoto anipe wanangu
3.Ongeza hawezi mapenzi ya kubembelezana bembelezana sijui nikupetipeti sijui nikulambe wapi ukiyataka hayo katafute wenye nayo kwangu hutoyapata na ukitaka kaoe kabisa ila ujue watoto wao na akaongeza siogopi kuachwa hata kidogo na ungejua kilichopo moyoni mwangu(kwake mke) ungenyamaza tu
Huwa nina kawaida ya kumsaidia kazi za ndani kama kuchota maji,kufua,kupika, sasa jana kaniambia wala sitaki unisaidie vikazi unavyonisaidia.
then wenzangu mlioko kwa ndoa na mna watoto siyo chini ya watatu nguo zenu zinanyooshwa na wake zenu au nyie wenyewe,viatu au makobazi yanafuta na kupakwa ranging na mke au nyie wenyewe.
je maji ya kuoga mnapeleka wenyewe au mnapelekewa mimi nafanya vyote hivyo mwenyewe .
Anasema hayo yote then asubuhi analia tu na kusema yaishe nashindwa hata kuelewa anataka nini anafikiri nini na matarajio yake nini
ndoano??kwa hiyo mkuu jamaa ndo anavuliwa sasayah inawezekana lakin sometim ajarib kwanza kumvumilia coz ndoa ni ndoano!!