Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Kampata m/me mwingine anayepiga show za kibabe kwa vumbi la kongo na kusimamia kucha.
 
Nadhani kuna mchanyiko wa issues zilizosababisha mabadiko hayo ya mke wako lakini nionavyo mimi jeuri yake imekuwa na nguvu aliku'size akabaini ulivyo mdhaifu,wengine tupo kwenye ndoa za muda mrefu lakini pamoja na kwamba mikwaruzano ya hapa na pale sometimes huwa inatokea lakini huwa mkeo anatakiwa kujua red line yako ambayo kama ataivuka basi atajuta. Hizo nonsense anazokufanyia kwa sehemu kubwa umezilea mwenyewe, how on earth mwanamke anaweza kukuongelea mautumbo kama hayo ukaishia kuja kulia JF? Give her a lesson that she'll never forget au apaki vikorokoro vyake aende atakako(by force). Kama ana mchepuko which is very likely kutokana na mtiririko wa maelezo yako atakimbilia huko, ni bora akaenda so that you remain in peace.
We only live once and life is too short so kwanini uishi kwa mateso na kusononeka? It's a psychological torture kwako na kwa watoto pia kwani hizo abusive words zinawaathiri sana watoto japo unakuwa unashambuliwa wewe.
Be a man, chukua hatua na uache kulialia.
Si wengine wake zetu wanajua misimamo yetu,hakuna kulea ujinga. Pesa yake ni yako pia,haumuombi bali unamwambia inhitajika. Ukiwa dhaifu unasomeka na hapo ndipo utawajua vizuri wanawake, utafanyiwa vitimbi mpaka utajuta.
Bora kumpiga chini kama hakai kwenye mstari.
 
pole sana mkuu,,ndoa baada ya kufikisha miaka kumi kumi na tano kunatakiwa kuwe na 'booster'/mke mwingine 😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱
 
Mambo ya pasu pasu ...pambana mwanaume
 
Wazo langu kwa wanaume wote punguzeni udhaifu kwa wanawake wa kileo hawafai hata kidogo .kuweni na msimamo wa kudumu ndoo za sasa ni za dreep
 
Ila nadhani kama financially mnasaidiana na kazi za ndani vile vile msaidiane..
 
Ulio ongea hapo ni usen.ge mtupu.. Unajua maana ya familia..
 
Kwanini tusisaidiane hapa ili na wengine wajifunze kupitia mawazo yako sorry
Tafuta hela mzee baba..kulea ni kazi ya mwanaume na kama huna uwezo huo usioe ..ila nyie hampo fair unataka mchangie kutunza familia na hapo hapo upikiwe..upelekewe maji bafuni..huo si uonevu
 
Tatizo wanaume siku hizi tunakosea namna ya ku adress mapenzi yetu kwa wanawake, eti mwanaume anajiona ni mwenye mapenzi ya dhati mpaka aoshe vyombo, apige deki, afue nk hapo ndipo mwanamke anapokuona wewe ni zoba ila hakuambii atacheka ila moyoni atakusema vibaya, mwanaume kazi yake ni kupalangana kuleta hela unarudi late kidume ulete hela sio kutaka hela ya mkeo pia iingie kwenye bajeti acha mwenyewe akitaka atakusaidia, badilikeni wandugu ona sasa mleta mada
 
Ana nyegezi huyo ndo mana anakuwa viasira na kujizira zira!!!kamata sukumia ndani chapa bakora ya kisawa sawa hadi maji aite mayi uone km hatabadilika na kuwa na adabu.we leta mapenz y kihindi tuu
Hili jambo si la kudharau!! Umeongea point ya maana sana mkuu
 
Ndio ilivyo
Hela ya mwanamke siyo ya kutegemea, we somesha watoto wako kutimiza wajibu na wakikua usitegemee msaada kutoka kwao watamjali zaidi mama yao
Kwa hayo maneno yako nini maana ya kuwa na mke? au nini maana ya kuwa na familia? Au Nini maana ya kuwa mwili mmoja (mke na mume)

Wanawake lazima wakubali kubadilika ili waendane na wakati, hivi wewe unahisi pesa au mishahara waliyonayo ipo siku watazikwa navyo kaburini

Pesa ni shetani na mwanamke ni kioo cha shetani, penye pesa auwezi kumkosa mwanamke. Kwa hiyo pesa na mwanamke ni vitu visivyoweza kutenganishwa

Mwanamke yuko radhi kuvunja ndoa yake hata yenye zaidi ya watoto 10 kisa tu ana pesa

Wapo radhi kufanya jambo lolote ili mradi amiliki pesa (nahisi hapa ndo wanaume wengi wenye pesa wanatolewa makafara na wake zao)

Kwa hiyo ndugu shida ya huyo mwanamke si watoto au mumewe Bali ni pesa zake.

Hebu tuambie hii katika hali ya kawaida ina maanisha nini? Hapo kuna mke kweli?

"Kuna maana gani ya kuishi katika ombwe lenye giza kama hili?"
 
Reactions: Cyb
Anafanya kazi na huwa anakuwaga na vitimbi vitimbi sana Mara bora nice oooh bora nisingezaliwa Mara anipige mategee na mangumi namwangalia tu Mara Sikh engine aniambie toka kwenye nyumba yangu wakati nyumba yenyewe nimepanga Mimi
Bro, wewe na yeye mnapishana umri gani!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] analala chini kupandwa
 
Tatizo kishajitambua'ndoa' kwa Mara ya kwanza hakuweza fanya coz alijua ataachika sasa ana ndoa tena from church na anajua hata mkigawana Mali watapewa watoto na yeye ndio mlez mana bado wadogo
 

Mmmmmmh,kwa ushauri huo hapana aisee
 
Pale Sana, hujapata mke mwema! Jitahid kuongea nae asipobadilika piga chini maisha yenyewe mafupi yanini kukaa na mtu asieeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…