Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Ndio ilivyo
Hela ya mwanamke siyo ya kutegemea, we somesha watoto wako kutimiza wajibu na wakikua usitegemee msaada kutoka kwao watamjali zaidi mama yao
Hapa anatakiwa ahakikishe watoto wake wanajua yeye ndiye anayetoa pesa zote za ada na matumizi ya nyumbani.
 
Tayari huyo alishakuacha muda mrefu sana.
Anae MTU mwenye cheo au mwenye pesa zaidi
 
Wengi waliofikia stage yako wameshafiriki kutokana na msongo wa mawazo au wivu wa mapenzi kwa kung'ang'ania kupenda..
 
Mkuu unatakiwa kutafuta vitabu ambavyo vitaeleza misingi yote ya ndoa ...haki za mume na mke pia ....kila kitu utakipata huko
Acha kuzingizia vitabu vya dini kama wewe unayajua maandiko tupe kwa faida ya wengi sema were utakuwa na porojo tuu
 
Casablanca nimekupenda bureee
 
Ulipomzalisha bila ndoa ndio ulipomkaribisha shetani kwenye muunganiko wenu, anaamini usingemzalisha na kumfanya awe anakufuata fuata kuficha aibu labda angepata mwanaume Bora kuliko wewe... Mkaombewe, shetani anamnong'oneza maneno mkeo ya kumtia hasira ili awasambaratishe na watoto waishi maisha mabaya wasifikie mafanikio waliyopangiwa na Mungu.
Ndoa ya Kwanza Ina baraka, ukioa mwingine unaweza ishia uzee wa mateso.
 
Tatizo wanaume huwa mnafikiria sana juu ya mambo yenu
Kama hapo umezungumzia mambo unayoyataka wewe!

Yeye je?
Inawezekana kuna matarajio alikua nayo kwenye maisha, wewe hujayafikiria ila umehitaji kutimiza yale yaliyo ya kwako!

Hapo anakua anakuona ni mbinafsi na yeye anajiona ni looser!
Jaribu kuongea nae juu ya malengo yake na yeye pia
 
Mkuu wajibika kama mwanaume, kazi ya kutunza familia na kulipia gharama zote ni ya mwanaume. Kazi ya mwanaume siyo kuosha vyombo na kufua nguo.
 
Mwanaume wa kweli muda huu angekuwa mahabusu akisubiri kesi yake kutajwa tena.
 
Anataka sana nimpatie kazi Mimi ninampotezea tu
Nadiriki kusema ndo ujinga wako ulipo!

Hupigi show za kibabe, unakimbilia kuosha masufuria jikoni eti ndo mahaba!!! Hakyanani nimetamani kukutukana!! T.mba sana huyo utaona anarejea kwenye mstari aliokuwepo. Yaani unampotezea mkeo anapotaka haki yake ya ndoa!?? Umezingua saana
 
[emoji23][emoji23] Tatizo jamaa hajui Kama ww Ndo mshauri wa mkewe[emoji6]
 
Huu ujinga wa kusema pesa ya mwanamke ni yake na ya mwanaume ni ya familia ni mojawapo ya factor inayochangia umasikini kwenye familia nyingi za kiafrica.
Hakuna matata wewe umeongea fact sana pesa ya mke na mume in PESA YA FAMILIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…