Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
RAS SingidaDkt Fatuma Maganga alikua DED BAHI
hayati Ndugai hajawahi kua na wife aitwae Dr. Fatuma.Rais wa Awamu ya 5 John Magufuli alimteua mke wa John Ndugai kuwa Mkurugenzi japo nimesahau ni Halmashauri IPI
Napenda kufahamu ni make yupi kati ya hawa wawili Fatma na Mary ambao kumezuka mtafaruku yupi ni mke halali zaidi ya mwingine
AsanteDkt Fatuma Maganga alikua DED BAHI
Shoga nini?Govinda
GovindaShoga nini?
Unapojibu unachohisi kimepotoshwa unatakiwa kulete taarifa sahihihayati Ndugai hajawahi kua na wife aitwae Dr. Fatuma.
Hata bungeni alishawahi kumtambulisha hadharini, ni daktari lakini sio fatuma
epukeni kupotoshwa kizembe na nanyi mkapotoshwa ndugu zangu wadau wa JF π
nasikitika sana wadau wa JF kupotoshwa kilofa wakati kila kitu kiko wazi katika teknolojia.Unapojibu unachohisi kimepotoshwa unatakiwa kulete taarifa sahihi
hayati Ndugai hajawahi kua na wife aitwae Dr. Fatuma.
Hata bungeni alishawahi kumtambulisha hadharini, ni daktari lakini sio fatuma
epukeni kupotoshwa kizembe na nanyi mkapotoshwa ndugu zangu wadau wa JF π
KalinyonyeGovinda
Kama unasikitika umefanya nini kuuleta ukweli unaoufahamu?nasikitika sana wadau wa JF kupotoshwa kilofa wakati kila kitu kiko wazi katika teknolojia.
kubebwa ufala ni umaskini mbaya sana gentleman π
Govinda
Shoga nini?
Govinda
Kalinyonye
Sasa si umtaje hapa jukwaani watu wamjuenasikitika sana wadau wa JF kupotoshwa kilofa wakati kila kitu kiko wazi katika teknolojia.
kubebwa ufala ni umaskini mbaya sana gentleman π