GovindaKalinyonye
GovindaKalinyonye
KalinyonyeGovinda
hayati Ndugai hajawahi kua na wife aitwae Dr. Fatuma.
Hata bungeni alishawahi kumtambulisha hadharini, ni daktari lakini sio fatuma
epukeni kupotoshwa kizembe na nanyi mkapotoshwa ndugu zangu wadau wa JF 🐒
Dr. Fatma Mganga siyo Maganga...Mpare first class, Anaakili kama zote!Asante
Maganga ni Kabila lipi? Wanyamwezi au?Dr. Fatma Mganga siyo Maganga...Mpare first class, Anaakili kama zote!
Fatma Mganga.Rais wa Awamu ya 5 John Magufuli alimteua mke wa John Ndugai kuwa Mkurugenzi japo nimesahau ni Halmashauri IPI
Napenda kufahamu ni make yupi kati ya hawa wawili Fatma na Mary ambao kumezuka mtafaruku yupi ni mke halali zaidi ya mwingine
😡😡😡Govinda
Aliyemtambulisha bungeni ndo huyo Dr Fatma Mganga na ni Daktari wa binadamu.Kwa sasa ni RAS Singida.hayati Ndugai hajawahi kua na wife aitwae Dr. Fatuma.
Hata bungeni alishawahi kumtambulisha hadharini, ni daktari lakini sio fatuma
epukeni kupotoshwa kizembe na nanyi mkapotoshwa ndugu zangu wadau wa JF 🐒
Atapotezwa usimsifieAnaitwa Mrs ndugai na nimzalendo haswa.anastahili kuwa rais tofauti na tuliyenaye.
Na virus vya Ukimwi juu.Kama kufaidi ndo huku ,mweh hapana kwa kweli.Mke wa kwanza ni wife material wakati wa pili alikuwa status material. Hivyo mke wa kwanza kaambulia cheti cha paroko tu, lkn matanuzi kayafaidi huyu status material.
mafao anachukua wa kwanza. ndio ndoa ya kikristo ilivyo.Mke wa kwanza ni wife material wakati wa pili alikuwa status material. Hivyo mke wa kwanza kaambulia cheti cha paroko tu, lkn matanuzi kayafaidi huyu status material.
Zwazwa Tlaatlaah yuko wapi aje aseme na hii ni "upotoshaji"!!??
Akapata Hayi chafu BaHI, akahamishiwa Dodoma mjini.Dkt Fatuma Maganga alikua DED BAHI
Ni kweli huyo mke status material alienjoy life wakati wa uhai wa marehemu ila baada ya kifo cha marehemu huyo wife material ndio ataanza kuenjii maisha.Mke wa kwanza ni wife material wakati wa pili alikuwa status material. Hivyo mke wa kwanza kaambulia cheti cha paroko tu, lkn matanuzi kayafaidi huyu status material.
RAS Singida
Mtu na Nusu huyu mama
Kumbuka huyu status material ni daktariNa virus vya Ukimwi juu.Kama kufaidi ndo huku ,mweh hapana kwa kweli.
Hela Raha yake uitumie ukiwa bado damu inachemka (ujanani) na uzurure duniani. Kitu ambacho huyu mke wa pili kakifanya kwa sana tu. Sasa huyu wa ndoa atapwa mafao wakati ambapo presha Iko juu, moyo na figo havifanyi kazi (uzeeni). Mfano ya nn sasa?mafao anachukua wa kwanza. ndio ndoa ya kikristo ilivyo.
Too late. Magonjwa ya uzeeni yameshapiga hodiila baada ya kifo cha marehemu huyo wife material ndio ataanza kuenjii maisha.
hayati Ndugai hajawahi kua na wife aitwae Dr. Fatuma.![]()
Hata bungeni alishawahi kumtambulisha hadharini, ni daktari lakini sio fatuma
epukeni kupotoshwa kizembe na nanyi mkapotoshwa ndugu zangu wadau wa JF 🐒