Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
hayati Ndugai hajawahi kua na wife aitwae Dr. Fatuma.
Hata bungeni alishawahi kumtambulisha hadharini, ni daktari lakini sio fatuma
epukeni kupotoshwa kizembe na nanyi mkapotoshwa ndugu zangu wadau wa JF š
Fatma, Fatima au Fatuma ni matamshi tu. Picha hiyo hapo- Dk. Fatma Mganga.
ccm walivyo wanafiki msiba wataugeuza mtaji msimu huu kuelekea Oktoba!