Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,418
- 13,747
hayati Ndugai hajawahi kua na wife aitwae Dr. Fatuma.
Hata bungeni alishawahi kumtambulisha hadharini, ni daktari lakini sio fatuma
epukeni kupotoshwa kizembe na nanyi mkapotoshwa ndugu zangu wadau wa JF 🐒
Kwamba hato-enjoy tena?Too late. Magonjwa ya uzeeni yameshapiga hodi
Hivi kuna ndugu yeyote (wa damu au ngono) wa kiongozi ccm na serikalini aliyeachwa ajiangaikie ajira?Dkt Fatuma Maganga alikua DED BAHI
Wapo inategemea na nafasi .Hivi kuna ndugu yeyote (wa damu au ngono) wa kiongozi ccm na serikalini aliyeachwa ajiangaikie ajira?
Ooh kumbe anabagua na kuchagua chagua?Wapo inategemea na nafasi .
Kuna jamaa yangu anapambia ajira portal na baba yake ni mbunge .
Nb
Ajira za kupata 700-1M hizo anazikataa anataka zile za kupata posho 100k-300K kwa siku
Labda atake yeye mwenyewe asee au awe amezaliwa na utindio wa ubongo (hana sifa za kuajiriwa )Hivi kuna ndugu yeyote (wa damu au ngono) wa kiongozi ccm na serikalini aliyeachwa ajiangaikie ajira?
hela sio lazima uile wewe, wakila watoto wako uliowazaa inatosha. kwenye ndoa ya kikristo hakuna kuachana, hivyo kama mke wa kwanza hakupewa talaka, hakuna ndoa ya pili hapo. wa pili kisheria hayupo, ni kama hawara tu, kwenye mgao mke hawara hapati vitu vya ndoa, labda kama ana watoto wanaweza kugawiwa kadhaa. ila mke mkubwa huyu wa ndoa, atapata vingi aachie watoto wake.Hela Raha yake uitumie ukiwa bado damu inachemka (ujanani) na uzurure duniani. Kitu ambacho huyu mke wa pili kakifanya kwa sana tu. Sasa huyu wa ndoa atapwa mafao wakati ambapo presha Iko juu, moyo na figo havifanyi kazi (uzeeni). Mfano ya nn sasa?
Wewe jamaa upo Dunia gani?hayati Ndugai hajawahi kua na wife aitwae Dr. Fatuma.
Hata bungeni alishawahi kumtambulisha hadharini, ni daktari lakini sio fatuma
epukeni kupotoshwa kizembe na nanyi mkapotoshwa ndugu zangu wadau wa JF 🐒
Tokea umekatwa umekuwa na kisirani sana as if upo menopause😡😡😡nasikitika sana wadau wa JF kupotoshwa kilofa wakati kila kitu kiko wazi katika teknolojia.
kubebwa ufala ni umaskini mbaya sana gentleman 🐒
Ndiyo maana naipenda JF ukweli papo kwa hapo
Kwa hiyo kama ni daktari ana dawa ya kutibu ukimwi?Kumbuka huyu status material ni daktari
Ukimwi ushapata dawa tayari. Wanaokufa kwa ukimwi ni walala hoi tu.Kwa hiyo kama ni daktari ana dawa ya kutibu ukimwi?
Wake wote ni wa ndoaMke wa ndoa ni yupi? Atakua marry?
Asilimia kubwa ya watanzania wana ufala wa kuchakatwa na chama flani. Ufala utaisha kikiacha kushika hatamu.nasikitika sana wadau wa JF kupotoshwa kilofa wakati kila kitu kiko wazi katika teknolojia.
kubebwa ufala ni umaskini mbaya sana gentleman 🐒
Sa wanahangaika nn ?Wake wote ni wa ndoa