denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Zile risasi bado hatujazisahau.Si ameamua tu kuishi ubalozini, nani atamgusa loser Lissu [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile risasi bado hatujazisahau.Si ameamua tu kuishi ubalozini, nani atamgusa loser Lissu [emoji23]
Boda ya Kyela/MalawiTunasubiria episode ya nne ya bwana mashavu Boniface Jacob, sijui yeye atatokea border gani na igizo jipya la Chadema 😂
Daah' nimeshindwa kujizuia aiseeMbowe yeye anaenda ubalozini lini au na yeye ataibukia Kenya na kuomba asylum 😂...
Hawa jamaa zenu ni wapumbavu, wanategemea watachukua nchi kwa drama za Twitter na JF.
Kastukiwa huyo, wanaacha nyaraka halali ili wakaombe hifadhi ya ukimbizi. Serikali ya Tanzania inashindwa kumtimua balozi wa Ujeremani akawa kielelezo cha msimamo wetu kama Taifa. Kwa nini hawa wanaachwa watuchezee hivi?
Kwa jinsi ulivyoandika, nina imani utakuwa uliishia darasa la Nne B.
Kama vipi washauri wenzio kesho muandamane muishinikize serikali imfukuze Balozi basi...
What goes around comes around. Usifurahie na kukejeli kinachotokea kwa mwenzako kama huna jicho la kuona kesho na keshokutwa. Wahenga wanasema "mwenzako akinyolewa wewe tia maji" . Kama haya yaweza kutokea kwa MTZ mwenzako wewe ni nani hata uwe salamaTunasubiria episode ya nne ya bwana mashavu Boniface Jacob, sijui yeye atatokea border gani na igizo jipya la Chadema 😂
Elimu kitu nzuri sana.Siku hizi makamanda wote wanaandika kingereza ili beberu azielewe post zao
Wewe ni taahira mkubwa. Naomba nikuulize" Lissu alifanyia kampeni ubelgiji au Tanzania? pili ' Je waliokuwa wanahudhuria mikutano ya Kampeni ya Lissu ni wazungu au watanzania? possibly wewe una makengeza ya akili na macho. Mabeberu hawa mnaowasema ndio wanao support budget ya serikali na huduma nyinginezo za afya.
Wanajifanya kumuiga Trump kwa kufanya siasa kupitia Twitter. Imekula kwao sasa....wanategemea watachukua nchi kwa drama za Twitter na JF.
mwambie na jiwe ajitete kwa kizunguSiku hizi makamanda wote wanaandika kingereza ili beberu azielewe post zao
arv ZIKO DUNIA NZIMA ISSUE NI PESA TU , WALA USIJIDANGANYE KWAMBA ULAYA NA MAREKANI NDIYO WAFADHIRI PEKEE.CHINA YUPO NA URUSIUnafikiliaga vitu ni rahisi hivyo eeh
Wajaribu kumfukuza uone kama ndugu zako watapata dawa za arv
arv ZIKO DUNIA NZIMA ISSUE NI PESA TU , WALA USIJIDANGANYE KWAMBA ULAYA NA MAREKANI NDIYO WAFADHIRI PEKEE.CHINA YUPO NA URUSI
Yaani haya majamaa ndizi haswaa, Zitto anasema eti wapiganaji wanagawanyika makundi mawili moja litakuwa nje kama wakimbizi na lingine litapigana humuhumu ndani. Jamaa viazi sana wanajaribu kuiga wale diaspora waliosaidi kuleta mapinduzi kwenye nchi za kiarabu ambazo hadi leo hata hao waliosaidia kupindua hawathubutu kuingia nchi hizo. Kwa tanzania watasubiri sana, nchi hii si ya kulinganisha na nchi za kiarabu na kiafrika magharibi,hii ni Tanzania ya nyerere. Halafu kikundi chenyewe kimejaa ma form four failure, msomi ni zitto pekee ambaye naye ni vuguvugu hajitokezi waziwazi anajaribu kupima kina cha maji.Wanaosubiri kutorokea nchi jirani bado:-
1- Halima Mdee
2- Joseph Mbilinyi
3- Ester Bulaya
4- Peter Msigwa
5- Kamanda mkuu Mbowe
6- Prof J
7- Jacob Steven
8- Zito Kabwe
9- Maalim Seif
10- John Heche...........
11
12
13
14
15...........
Dc kaanza kusutwa na mwanamke!!!Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe amesema, Lazaro Nyalandu amezuiwa Namanga kwasababu hakuwa na nyaraka muhimu na atafikishwa Mahakamani endapo atashindwa kuwasilisha nyaraka hizo.
Mke wa Lazaro Nyalandu, Faraja Kotta Nyalandu amesema wao wanaishi Arusha na mumewe hahitaji nyaraka ili kufanya shughuli zake akiwa upande wa Tanzania na wala hakuwa na mpango wa kuvuka mpaka wa nchi.
Pia amesema tukio hilo halikutokea Novemba 9, kama ilivyoripotiwa bali lilitokea Novemba 6.
Lazaro Nyalandu alikuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia CHADEMA. Iliripotiwa kuwa anashikiliwa na Maafisa Uhamiaji wa Tanzania kwa tuhuma za kutaka kuondoka nchini bila nyaraka muhimu.
Swala la alubadili iliyosomwa tanga sasa inawasambalatisha wenyewe mpaka mpate akili sawsawa,Jiwe kwa sanaa yupo vizuri
Ila mkumbusheni tu mtetezi wetu yu hai, na hadi saivi dk ya 0, 0-3
Mkuu watu wanatetea ugali wao ndio maana hawajui lipi litafurahisha ngazi za tengua teua!!Hii maana yake nini?!
1. Polisi ndio waongo?
au
2. Mke wa Nyalandu ndie muongo?
Ila kwa muunganiko wa matukio, naanza kuamini mke wa Nyalandu ndie mkweli, kwasababu mtu kama Nyalandu siamini kama hajui taratibu za kusafiri nje ya nchi mpaka aache documents muhimu.
Alikuwa na safari zake maeneo ya mpakani, polisi kwa kutojiamini hasa kutokana na lile tukio lililotangulia la Lema, wakaona wamkamate, kumbe hata hakuwa na mpango wa kusafiri nje.
Nilijiuliza inakuaje mtu anaetaka kukimbilia nje atumie private car yake? kumbe alikuwa na mishe zake tu.