Mke wa Padri

Ningekuwa mimi ningemrudia. Anayependa kujua kwa nini ninasema hivi an-"private message" nimpe mkanda
yamewahi kukukuta nini mkuu:eyeroll2:,
au ni tiketi ya vatikani unataka??? :shocked:
uuuwi au sadaka za waumini? :confused2:
 
hivi mtu unayetaka kumuoa halafu anakufanyia matimbili yote hayo bado tu unamng'ang'ania umeshaambiwa amejengewa mpk na nyumba na huyo padre bado tu humo, umemfumania analiwa uroda bado humo, umetishiwa kuachishwa masomo bado humo, sasa hivi umedungiwa mimba bado humo nadhani kinachofuata sasa ni kuwekewa sumu utoweke kwenye uso wa dunia

Once again sikiliza wimbo wa ZOBA wa Banana utapata akili
 

Yawezekana hilo! Hivi umeishapewa tiGo weye?
 
huyo rafiki yako anataka aonywe vipi???? huyo si mke, apige magoti aonbe mke mwema.
 
Hakuna cha kumshauri zaidi ya kwamba AACHANE NA HUYO DEMU.............. kumbuka katika hali hii padre anajuficha na demu anajificha kwenye kutekeleza mambo hayo.......sasa tafakari ikitokea akimpatakijana ambaye hana sababu ya kuficha mambo yake kwa watu si ataowa kabisa.......???
 
yaani sisi tunaona binti anatafuta mwavuli wa ndoa ili aweze kutumbua vizuri na baba paroko.
 
p0le is all i can say, he should have woken up long time by now. otherwise awe tayari kutunza watoto wa padri apart from hiyo mimba
 
p0le is all i can say, he should have woken up long time by now. otherwise awe tayari kutunza watoto wa padri apart from hiyo mimba
woiwoi mama yeeyo imerudi?cjaona comments zako hapa kwa kitambo.....
anyway it seems huyu jamaa yetu hataki kuamka bado ana kausingizi ka maruweruwe ka kushindwa kuamua vema...cjui ndo libwata mi celewi bana
 
hajui afanyeje?
Kwa kifupi hiyo mimba ni ya Padre ndo maana Binti aligoma kupiga simu..
Ila kijana nae sijui kalishwa limbwata wakati jibu ni moja hapo:confused2:

Hiii kitu hiikitu hii!!!!:confused2::confused2::confused2:!

Haya sio mapenzi huyo jamaaa ana kaugonjwa fulani......................Teamo waelekeze Nyumbanitu hao!
 
ikiwa wamekua na baba paroko kwa miaka sasa wadhani tumwiteje huyu bint?:eyeroll2:

Mzinifu hafungamani isipokuwa na mzinifu mwenzake~~~
Ukiona hauna wivu to this extent jichunguze upya.
 
Yawezekana hilo! Hivi umeishapewa tiGo weye?[/COLOR]


ahahahahaaa...Rev. Masaniloooooo....kweli umekuwa mchungaji..ila sasa unachunga nini ndio ishu yenyewe...ahahahaha...sorry bro..was reading between lines n words..ahahaha
 
kuna watu wanapenda vibaya duniani huyo mwenzetu amependa mpaka amepatwa na upofu na brain imeingia ukungu kabisa kawa kama zezete sijui huyo binti amemfanya nn? au ndio demu wake wa kwanza?
 
kuna watu wanapenda vibaya duniani huyo mwenzetu amependa mpaka amepatwa na upofu na brain imeingia ukungu kabisa kawa kama zezete sijui huyo binti amemfanya nn? au ndio demu wake wa kwanza?

Mkuu yasikie tu kwa jirani, yasikukute. Ukichoropoka hapo unakuwa kamanda wa ukweli
 
Mi namshauri wala asimrudie, kama alimshauri hakusikia. isije ikawa hat hiyo mimba ni ya padri sa anatafutia wa kumlea.
 
kuanza upya si ujinga!!

Maji ni ya mgawo umeme ni wa mgao lkn hakuna mapenzi ya mgawo hiyo haikubaliki
Padri anataka demu arudi kwa mshikaji ili afiche aibu ya hiyo mimba ionekane ya mshikaji then akishajifungua waendelee kula uroda


Haina haja ya kuendelea naye lkn vile vile mshikaji kalea huo upuuzi na acha umsumbue sasa

Hata mimi yalinikuta sintosahau kwani kisa hiki kinafanana na kilichowahi kunikuta na nikaamua kuachana nakumuomba mungu na kweli nilipata mpenzi mzuuri ambaye kafuta machungu yote na kunifanya nijisikie furaha muda wote

NI bora kuachana naye na kumuomba mungu akujaalie mke mwema
 

...halafu bado unakuja kutuomba ushauri wanaJF! Haya acha tukushauri kile ambacho inaelekea ndicho unachotaka...ENDELEA NAYE !!:mmph:
 
Mhh, makubwa haya, huyo padiri ungemrusha tu hewani, this is JF where we do talk OPENLY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…