yamewahi kukukuta nini mkuu:eyeroll2:,Ningekuwa mimi ningemrudia. Anayependa kujua kwa nini ninasema hivi an-"private message" nimpe mkanda
au ni tiketi ya vatikani unataka??? :shocked:
uuuwi au sadaka za waumini? :confused2:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yamewahi kukukuta nini mkuu:eyeroll2:,Ningekuwa mimi ningemrudia. Anayependa kujua kwa nini ninasema hivi an-"private message" nimpe mkanda
Ningekuwa mimi ningemrudia. Anayependa kujua kwa nini ninasema hivi an-"private message" nimpe mkanda
hivi mtu unayetaka kumuoa halafu anakufanyia matimbili yote hayo bado tu unamng'ang'ania umeshaambiwa amejengewa mpk na nyumba na huyo padre bado tu humo, umemfumania analiwa uroda bado humo, umetishiwa kuachishwa masomo bado humo, sasa hivi umedungiwa mimba bado humo nadhani kinachofuata sasa ni kuwekewa sumu utoweke kwenye uso wa dunia
Once again sikiliza wimbo wa ZOBA wa Banana utapata akili
Hakuna cha kumshauri zaidi ya kwamba AACHANE NA HUYO DEMU.............. kumbuka katika hali hii padre anajuficha na demu anajificha kwenye kutekeleza mambo hayo.......sasa tafakari ikitokea akimpatakijana ambaye hana sababu ya kuficha mambo yake kwa watu si ataowa kabisa.......???Ni rafiki yetu wa familia. Tulifahamiana tangu high school. Amekua na mahusiano na msichana mmoja ambae baadae alikuja kugundua kua anatoka na baba paroko.amejengewa nyumba pia
Wakiwa chuo kikuu kimoja huko jijini wanakopatikana masangara, rafikiangu huyu alijaribu kumsihi mpenziwe huyu aachane na padri ikiwa kweli alikua tayari kuwa nae kwa rest of maisha yake. Binti alikua anamdanganya mara kwa mara kua ameachana na padri lakini jamaa akaja kuwabamba live room kwa huyo dada. Lilizuka vurugu kiasi kua padri alimtishia jamaa maisha ( hata kimasomo kwani mtumishi huyu ni mdosi katika chuo walichokua wanasoma) yeye hakutaka kumtosa binti kwa madai kua alimpenda sana ingawa tulimshauri aachane nae.
Baada ya muda sasa wamemaliza chuo na kijana kwa mapenzi mema alimtambulisha binti kwa baadhi ya ndugu ikiwemo mama yake mzazi ambae alimpenda sana huyo mkwe. Ila kijana hakuwahi kumwambia mamake tabia ya huyo mpenziwe,akidhani atarekebika.
Dada juzijuzi akadai anakitumbo ndii (haijulikani kama ni padri au jamaa) akademand kutoka kwa kijana kua aende kumtambulisha ili maandalizi ya ndoa yafanywe, kijana alikubali ila kwa masharti kua anataka binti amthibitishie kua hana tena mahusiano na baba paroko.bint akadai kua angempigia simu wakiwa pamoja ili athibitishe lakini siku ilipofika hakukubali kupiga simu. Kijana akampa live kua hapo ndo mwisho wa mapenzi yao.
Binti kwa kujua kua mama mkwe anamfagilia akakimbilia kwa mama kumtaka amsaidie ili mwanae amkubali tena. Kijana akaona isiwe tabu akamsimulia mamake kila uozo wa binti kitu ambacho kiliamsha hasira ya mama. Hataki hata kumsikia na binti kwa kujua hilo juzi kaumwa ghafla na sasa kalazwa hospitali hoi. Baadhi ya ndugu wa dada wanamsihi jamaa amsamehe, sisi kama marafiki tumemsihi amsahau maana mara nyingi hawa watu wanaokua na mapadri huwa hata waolewe huwa wanaendeleza hayo mahusiano.
Kachanganyikiwa hajui afanyeje, wanajamii hebu nipeni ushauri wenu kuhusu huyu ndugu maana msimamo wake naona hauna mashiko.
yaani sisi tunaona binti anatafuta mwavuli wa ndoa ili aweze kutumbua vizuri na baba paroko.Hakuna cha kumshauri zaidi ya kwamba AACHANE NA HUYO DEMU.............. kumbuka katika hali hii padre anajuficha na demu anajificha kwenye kutekeleza mambo hayo.......sasa tafakari ikitokea akimpatakijana ambaye hana sababu ya kuficha mambo yake kwa watu si ataowa kabisa.......???
ikiwa wamekua na baba paroko kwa miaka sasa wadhani tumwiteje huyu bint?:eyeroll2:"MKE WA PADRI"
Hiyo heading haindani kabisa na story niliyoisoma.
woiwoi mama yeeyo imerudi?cjaona comments zako hapa kwa kitambo.....p0le is all i can say, he should have woken up long time by now. otherwise awe tayari kutunza watoto wa padri apart from hiyo mimba
hajui afanyeje?
Kwa kifupi hiyo mimba ni ya Padre ndo maana Binti aligoma kupiga simu..
Ila kijana nae sijui kalishwa limbwata wakati jibu ni moja hapo:confused2:
ikiwa wamekua na baba paroko kwa miaka sasa wadhani tumwiteje huyu bint?:eyeroll2:
Yawezekana hilo! Hivi umeishapewa tiGo weye?[/COLOR]
kuna watu wanapenda vibaya duniani huyo mwenzetu amependa mpaka amepatwa na upofu na brain imeingia ukungu kabisa kawa kama zezete sijui huyo binti amemfanya nn? au ndio demu wake wa kwanza?
kuanza upya si ujinga!!
hivi mtu unayetaka kumuoa halafu anakufanyia matimbili yote hayo bado tu unamng'ang'ania umeshaambiwa amejengewa mpk na nyumba na huyo padre bado tu humo, umemfumania analiwa uroda bado humo, umetishiwa kuachishwa masomo bado humo, sasa hivi umedungiwa mimba bado humo nadhani kinachofuata sasa ni kuwekewa sumu utoweke kwenye uso wa dunia
Once again sikiliza wimbo wa ZOBA wa Banana utapata akili