Mke wa PILI wa JK

Mke wa PILI wa JK

Status
Not open for further replies.
Duh, wanawake wote hawa TZ? kwa hiyo alienda kutoa mahari, mshenga alikuwa nani?

Isije ikawa ndiye anamshauri tujiunge OIC??

Kwikwi... kaisha kuwa Yezebeli tena?

Any way japo mtoa mada kapondewa lakini nadhani bado ana jambo la msingi kwa kuhusianisha ndoa hiyo na kutoguswa kwa RA!

Kwahiyo badala ya kuiona hoja yake haina msingi, labda tuliangalie hili, je ni kweli bi mdogo ni nduguye RA? na je hiyo yaweza kuwa ndiyo chanzo cha kutoguswa kwa RA pamoja na tuhuma zote zinazo mzunguka kama vile RICHMOND na KAGODA? na vipi habari ya hoteli mbugani inayo husianishwa na ndoa hii?

Kuoa hakuna anaye dai asioe ila swala ni conflict of interest hapa!
 
Mke wake wa pili ni kweli ana asili ya kiarabu na ndio huyo aliyemzaliwa watoto wale mapacha wa kiume. ni mtu wa unguja na hana undugu na Rostam. alimuoa kabla hajawa raisi na wakati akiapishwa uraisi watoto walikua wanakimbia tayari na pengine umri wao wao wakati huo ulikua zaidi ya miaka miwili. hafanyi siri kuwa ni mke wake na mke mkubwa na ndugu na marafiki wa jk wote wanamjua. hivyo nadhani hii haina implication na jinsi atakavyo endesha nchi au kulinda wanashutumiwa na ufisadi.
 
Ahsante kwa hii taarifa. Kama kweli ana mke wa pili basi anamficha/anafichwa/anajificha sana. Sikumbuki kama alienda nae kupima HIV pale mnanzi moja wakati wa kuzindua ile kampeni ya 'Tanzania Bila Ukimwi Inawezekana'
 
As long as mke wa pili huyo halipwi allowance kwa hela zetu, mie sina shaka. Rais wetu alichoka wanawake wa kibantu akaamua kudodosa mwanamke wa kiarabu, wewe wafanya mchezo na mbantu kwenye maswala hayo?

je huyu ndiye aliyehongwa mbuga ya Serengeti
 
Aliyeanzisha thread kauliza swali hana uhakika sasa wanakuja watu wanamuomba data hii kali.
Na hili kweli ni swala binafsi kwa rais hasa akiwa havunji sheria ya nchi na ya imani yake ya kidini(sunna)tehe tehe tehe.
Ila sisi panapo tuhusu ni uhusiano wa huyo mke wa pili na RA,inawezekana ikawa na athari fulani ingawa bado ana haki ya kuwa na mke mwenye uhusiano na mtu yeyote.
Kama kweli ndio itakuwa hivyo basi kweli inaongeza ugumu fulani.

Lakini kuna mtu katuambia ni Muunguja ati!
 
kama rais ameoa mke wa pili yeye ni binandamu, lakini hilo la kwamba ni muajemi mhhh sina la kusema. hata hivyo affairs za ikulu haziwezi kuingiliwa na affairs za usemegi kwani hayo mambo ni mazito.

nadhani kama rais atakosa ujasiri wa kuwaawajibisha wahalifu wote basi watanzania tunaweza. hebu tufanye consultation na solicitors kujua kama tunaweza kuishtaki serikali kwa kesi ya katiba (ambayo tutashinda)?

mambo ya nyumbani acheni nyumbani
 
KAMA RAIS AMESHINDWA FANYA KAZI SABABU YA 2nd wife TUMSAKAME, na kama anaongoza nchi kwa kufuata ushauri wa .... pia tumsakame .
lakini kama haiingiliani na utendaji wake wa kikazi ya nini yote haya...?
BRAVO KIKWETE....!
PANTONI LITAANZA KAZI HIVI KARIBUNI KULE KIGAMBONI....! HUREEEE...!
 
I thank of of you who responded positively as I always appreciate all who accept others work/opion/question etc. May GOD bless you all
 
Waheshima, ndugu wana jukwaa wa jamiiforums naomba msaada kwenu. "Kuna taarifa zimezagaa kuwa JK ana mke wa pili aliyemuao wakati wa kampeni 2005. isitoshe mke huyo ni Muajemi (inarahisishwa kuwa ni Mwarabu) kwani ni dadaye Rostam Aziz."

Pia inadaiwa ndio maana JK hana ubavu wa kumueleza lolote RA pamoja na tuhuma zote zinazomuhusu ambazo ni kubwa kuliko za Yona na Mramba.

Narudia tena naombeni msaada wa kueleweshwa kuhusu hili.

Inabidi nikapitie code of ethics ili nione kama kuwa na mke zaidi ya mmoja ni kosa kwa viongozi wetu. Kimaadili si vyema mtu akawa na tabia ya mahusiano nje ya ndoa yake lakini bado hili si kosa tena ukizingatia kuwa muungwana ni mwislamu! Nafikiri kama point ingekuwa imethibitishwa wanachangia kuharibu nchi hapo ningeona kuna tatizo. By the way those are personal issues tumwachie yeye na Mungu wake!
 
Nimepitia hii mada yote sijaona mwanamke amtoa hoja yeyote huku.

Kwa nini..........,??????????????????
 
Kwanza una post 13 umeona hapa sehemu ya kuuliza vitu vya ajabu ajabu mfate mwenyewe kamuulize

Nimeshindwa kuelewa nini kimepelekea Mzee mwanakijiji kuweka THANKS hapo juu.
Game Theory kama kawaida yake, ni ndumilakuwili. Kwanza anapinga maswali ya "ajabu ajabu", halafu anauliza ya mfano huo huo. Mnampiga vijembe mleta hoja, halafu baadae mnajumuika kwenye kuchangia....

I thank of of you who responded positively as I always appreciate all who accept others work/opion/question etc. May GOD bless you all
Bazazi ni mstaarabu.
 
ahsante kwa hii taarifa. Kama kweli ana mke wa pili basi anamficha/anafichwa/anajificha sana. Sikumbuki kama alienda nae kupima hiv pale mnanzi moja wakati wa kuzindua ile kampeni ya 'tanzania bila ukimwi inawezekana'

🙂

__________________________

.
 
As long as mke wa pili huyo halipwi allowance kwa hela zetu, mie sina shaka. Rais wetu alichoka wanawake wa kibantu akaamua kudodosa mwanamke wa kiarabu, wewe wafanya mchezo na mbantu kwenye maswala hayo?

je huyu ndiye aliyehongwa mbuga ya Serengeti

atiii???!halipwi allowance lakini kuhongwa serengeti kwako wewe ni sawa tu??!duh kweli tz kazi tunayo!
 
Ndio matatizo ya watoto wa darasa la saba kuwaachia mtandao !!,na wanaingia humu kuuliza upupu. swala ni la utendaji kazi wake raisi hata awe na wake 20 who cares ?.we tueleze nchi anaiendeshaje na anazingatia vipi maslai ya wananchi wake sio swala la ana sketi ngapi kwake camon pips !!!! wake up
Heshima Mbele.
Hakuna kitu personal as long as ur public figure.Urais ni Symbol ya Taifa , sote tunajua mtu kapera,mwenye mke mmoja au wake wawili level zao za concentration kwenye kazi.Tunao maofisini. USISAHAU MKULU , PRIDE GOES BEFORE FALL.
TUVUMILIANE.
 
Ndio matatizo ya watoto wa darasa la saba kuwaachia mtandao !!,na wanaingia humu kuuliza upupu. swala ni la utendaji kazi wake raisi hata awe na wake 20 who cares ?.we tueleze nchi anaiendeshaje na anazingatia vipi maslai ya wananchi wake sio swala la ana sketi ngapi kwake camon pips !!!! wake up

Acha dharau zako ndugu yangu.
unatakiwa kujibu hoja na wala sio kuleta madharau yako hapa. hata kama hajasoma huoni kuwa ulitakiwa kumpongeza kwa kujitutumua hadi kuweza kufika kwenye mtandao kama ulivyo wewe uliyesoma???au wewe ndio kihiyo???
Pamoja na hayo yote, suala la msingi ndani ya maelezo yake ni kuwa inasemekana, huyo mke ni ndugu/dada yake na fisadi RA, ndio sababu KJ na serikali yake wameshindwa kumchukulia hatua za kisheria RA kama anavyofanya kwa wengine.Sasa badala ya kumjibu mwenzako hoja yake we unamkurupukia kumjibu utumbo kama vile umetoka usingizini!!!
Acha hizo, heshimu mawazo ya watu kwa kuyapinga kwa hoja na sio vioja!!
 
Kwanza una post 13 umeona hapa sehemu ya kuuliza vitu vya ajabu ajabu mfate mwenyewe kamuulize
Wapendwa wanaJF, naomba mtu akosolewe kwa kutathmini hoja aliyotoa na si kwa idadi ya post. Mwanzo wa mia ni moja. Hata hivyo, kwenye pumba hapakosi chenga!
Asanteni.
 
Ndio matatizo ya watoto wa darasa la saba kuwaachia mtandao !!,na wanaingia humu kuuliza upupu. swala ni la utendaji kazi wake raisi hata awe na wake 20 who cares ?.we tueleze nchi anaiendeshaje na anazingatia vipi maslai ya wananchi wake sio swala la ana sketi ngapi kwake camon pips !!!! wake up

Wengine sio wa darasa la saba tu , bali ni watu wazima lakini hufikiri kama hivyo.

Hata King Mswatti anao kibao wala sio issue. It is a question of promisquity, fame , tradition or upuuzi at its best. It depends on how you visualize it.

Ask yourself one question. Who is a president and what do you expect from him/her. Compare your expectations against what he is doing or has done. If they are too far from meeting, then decide what to do. Kila mtu anafahamu kuwa kama kitu hakina manufaa kwako huhutaji kuwa nacho maana ni gharama kuwa na useless property. Any prudent person will scrap it and forget about it. I am sure you are not going to evaluate the president by imagining how many times he had sex? Many women mean more sex .Right?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom