Duh, wanawake wote hawa TZ? kwa hiyo alienda kutoa mahari, mshenga alikuwa nani?
Isije ikawa ndiye anamshauri tujiunge OIC??
Kwikwi... kaisha kuwa Yezebeli tena?
Any way japo mtoa mada kapondewa lakini nadhani bado ana jambo la msingi kwa kuhusianisha ndoa hiyo na kutoguswa kwa RA!
Kwahiyo badala ya kuiona hoja yake haina msingi, labda tuliangalie hili, je ni kweli bi mdogo ni nduguye RA? na je hiyo yaweza kuwa ndiyo chanzo cha kutoguswa kwa RA pamoja na tuhuma zote zinazo mzunguka kama vile RICHMOND na KAGODA? na vipi habari ya hoteli mbugani inayo husianishwa na ndoa hii?
Kuoa hakuna anaye dai asioe ila swala ni conflict of interest hapa!