Mke wa Roma atoa ahadi mubashara kwa mumewe

Mke wa Roma atoa ahadi mubashara kwa mumewe

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Baada ya kufurahishwa na mafanikio makubwa ya wimbo wa nakwenda zimbabwe,mke wa roma atoa ahadi kubwa kwa mumewe kupitia mtandao wa insta
20986726_124952658139368_4036812144870686720_n.jpg
 
Kwa hiyo anamaanisha nini sasa au anachenjuliwa huyu leo

mafisadi hayana rangi

Duuuu aisee na mondi sijui inakuagaje,maana view million kwa wiki ni kawaida kabisaaa,sa sijui madem zakehua wanampa nn kilaakitoa mpya
 
Nimependa hapo @Mauasama anavyomtia ujinga mwenzie eti 'USISAHAU ILE YA KUCHUMA MCHICHA'...
 
Duuuu aisee na mondi sijui inakuagaje,maana view million kwa wiki ni kawaida kabisaaa,sa sijui madem zakehua wanampa nn kilaakitoa mpya
makinikia

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Back
Top Bottom